Si alishasema, kuwa kwenye ghafla ijayo ya Mei Mosi atakuja na habari njema itakayoleta furaha lakini kwasasa tumvumilie.
Hivi kuna watu wanajifariji kuwa mwaka huu kuna nyongeza. Duuuuhhh, hata hotuba ya Magu ya kiswahili wameshindwa kuielewa .
Niliwaandikia humu kuwa "msoto mwingine kwa watumishi wa umma unakuja".kabla ya Mei Mosi hamjaeelewa?