Ni lini Rais utaongea nasi, mbona bei ya vitu imepanda hivi au huna taarifa?

tunajenga uchumi kwanza kwa kufungua milango kwa wawekezaji ..bei za vitu zitapungua tu msijali - subira yavuta kheri na haraka haraka...
 
Sasa ulitegemea Mama atafanya nini wakati mafuta yamepanda bei dunia nzima tena TZ tuna nafuu kenya lita moja inakaribia equivalent to Tshs 3000 za TZ.

Nchi kubwa mpaka zinatoa mafuta kutoka katoka Strategic Oil reserves angalia International news jana.

Hata JPM angekuwepo vitu vingepanda tu bei kuanzia December bei za mafuta zitashuka haya mafuta ya akiba za mataifa makubwa yatakuwa yamesambaa duniani.

Mnawalaumu mabeberu hao waarabu wazalishaji wakubwa wa mafuta wamekomaa na bei zao za juu hawataki kushusha bei .
Huu ni uongo wa wazi kabisa
Bei hii ya 2400 tuliwahi kuwa nayo kipindi vhaa JPM, mbona vitu havikupanda hivyo?
Umetolea mfano Kenya kuwa nao wana Bei kubwa, mbona hujatolea mfano Zambia ambao Wana Bei ndogo kuliko sisi?
 
ccm hakuna kiongozi hata mmoja aliewahi kuwa na huruma na wananchi wa taifa hili nawaangaliaga tu mnavyowashangiliaga.
 
Kila nchi na changamoto zake, Wakenya nao wanasumbuliwa na mfumuko wa bei kwenye mafuta kiasi kwamba Serikali imeamua hadi kuwazawadia wenye petrol stations ambao watashusha bei za mafuta kwenye vituo vyao, vyakula navyo vimepanda sana huko!! US imewabidi hadi watoe mafuta waliyoficha wayaingize kwenye system, bei za mafuta zimepata more than 50%, bidhaa na kodi za nyumba nazo zimepanda mnoo!! China mfumuko wa bei upo kwenye vyakula!! Changamoto hazikosekani kwenye jamii yeyote, and siyo kila kitu Rais lazima aadress yeye, Sasa akina Kitila watakuwa wanalipwa mishahara ya nini kama mambo yanayohusu wizara zao moja kwa moja hadi Rais aadress??
 
Back
Top Bottom