MR. MORRIS T. J.
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 1,167
- 402
Aiiiishh!!!Wanajamvi, Mimi Leo Nimemeza Vidonge Wanavyosema Vya Kuzuia Matende Na Busha.Nilienda Zahanati Kwa Shida Tofauti Nikakuta Nesi Amekaa Na Makopo Mengi Ya Dawa,kama Ilivyo Kawaida Yangu Huwa Sipitwi Na Jambo,nikamtupia Swali Kwanini Amezungukwa Na Makopo Ya Dawa.Akanijibu Ni Dawa Za Chanjo Ya Matende Na Mabusha,nikauliza Bei Nikaambiwa Ni Bure,na Kwakuwa Nilikuwa Na Maji Mkononi Nikamwambia Anipe Na Mimi,nesi Akanipima Urefu,akanipa Vidonge Vidogo Vidogo Vitatu Na Kingine Cha Pinki Akaniambia Kuzuia Minyoo. Nikaondoka, Sasa Nimerudi Mtaani Nimewaambia Nipata Kinga Ya Matende Na Mabusha Nikawataka Na Wao Waende,wamenicheka Wamesema Nimejipunguza Nguvu Za Kiume, Sasa Amani Imetoweka Moyoni,na Nimejiuliza Kuhusu Ukweli Huo,nimeingiwa Na Mashaka Maana Rais Kikwete Na Viongozi Wa Serikali Sijawaona Kuzindua Kampeni Hii Kwa Kumeza Hvy Vidonge,mbona Wakizindua Gari Au Bara Bara Huzitesti?Mbona Kampeni Hii Sijamsikia Rais Akimeza Vidonge Hvy?
Tangu uingie kwenye hizi ishu akili zako zimegeuka zinafanya kazi kurudi nyuma badala ya kwenda mbele.
Wanajamvi, Mimi Leo Nimemeza Vidonge Wanavyosema Vya Kuzuia Matende Na Busha.Nilienda Zahanati Kwa Shida Tofauti Nikakuta Nesi Amekaa Na Makopo Mengi Ya Dawa,kama Ilivyo Kawaida Yangu Huwa Sipitwi Na Jambo,nikamtupia Swali Kwanini Amezungukwa Na Makopo Ya Dawa.Akanijibu Ni Dawa Za Chanjo Ya Matende Na Mabusha,nikauliza Bei Nikaambiwa Ni Bure,na Kwakuwa Nilikuwa Na Maji Mkononi Nikamwambia Anipe Na Mimi,nesi Akanipima Urefu,akanipa Vidonge Vidogo Vidogo Vitatu Na Kingine Cha Pinki Akaniambia Kuzuia Minyoo. Nikaondoka, Sasa Nimerudi Mtaani Nimewaambia Nipata Kinga Ya Matende Na Mabusha Nikawataka Na Wao Waende,wamenicheka Wamesema Nimejipunguza Nguvu Za Kiume, Sasa Amani Imetoweka Moyoni,na Nimejiuliza Kuhusu Ukweli Huo,nimeingiwa Na Mashaka Maana Rais Kikwete Na Viongozi Wa Serikali Sijawaona Kuzindua Kampeni Hii Kwa Kumeza Hvy Vidonge,mbona Wakizindua Gari Au Bara Bara Huzitesti?Mbona Kampeni Hii Sijamsikia Rais Akimeza Vidonge Hvy?
Usiwe na wasiwasi umefanya jambo la maana, hiyo chanzo si ya leo imezinduliwa miaka zaidi ya mitano iliyopita sisi baba alituletea nyumbani maana yeye ni doctor, ni muhimu kuinywa kwa sababu mabusha na matende yanaemezwa na mbu hasa sehemu za Pwani kama hapa Dar, hivyo hayo mengine ni uzushi tu. Usiogope mkuu sisi tulikunywa miaka zaidi ya mitano iliyopita na ni muhimu sana kwa afya yako.
Yap! Namfahamu vema ni ukawa asili wala siyo masalia.Kumbe jamaa kajitambulisha kuwa ni UKAWA!!!!!!!!?????
We kibatali bora nyamaza tu huna hata cha maana unachosema bawacha wengine kaeni na watoto wenu nyumbani tu mengine hamtayaweza kabisa.Kwa hali hii nimekushusha thamani. Hiki ndio Vijana wa CCM mnachokiwaza tu. Huwezi kuweka ujinga kama huu ili kuharibu mantiki ya thread. Ujue mshakunwa tayari na mada hii
Yap! Namfahamu vema ni ukawa asili wala siyo masalia.
We kibatali bora nyamaza tu huna hata cha maana unachosema bawacha wengine kaeni na watoto wenu nyumbani tu mengine hamtayaweza kabisa.