Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 83
Naomba kujua ni lini TCU watatoa majina ya watu waliofuzu kufanya mitihani ya RPL?
Yakitoka tukutane apa tuyajenge kwa ajili ya pepa
Nitumie majina, au link plzzMatoke yameshatoka na mtihani ni tarehe 10 July, mi mwenyewe ni mchaguliwa wa kufanya huo mtihani ila sijui lolote kuhusu maswali nitakayokutana nayo hiyo j3. Pliz msaada kwa Kama una idea na huu mtihani