Ningependa tuangalie angalau historia kwa kifupi kama ipo siku polisi wamewahi kutumia virungu vyao kuwaadhibu wanachama na wapenzi wa CCM mahali popote nchini.
Iwe aidha viongozi wa CCM, au wanachama wake. Au wanachama wa CCM hawakosei ni malaika?
Tumeona viongozi wa upinzani wakikamatwa kuwa wanafanya mikutano ya ndani, je viongozi wa CCM hawafanyagi mikutano au vikao vya ndani?