Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,335
- 5,315
Rekebisha swali, TOA NENO "GARI LA POLISI" weka "KIFARU CHA JESHI"Hatari ya nini? Unafiki utawauwa nyie watu. Hujawahi kuona gari ya polisi kipindi cha uchaguzi?
Rekebisha swali, TOA NENO "GARI LA POLISI" weka "KIFARU CHA JESHI"Hatari ya nini? Unafiki utawauwa nyie watu. Hujawahi kuona gari ya polisi kipindi cha uchaguzi?
Malizeni chuki zenu kwanza za upemba na uunguja.lasivyo mtamalizana.
Kama jeshi liko kazini ondoeni wasiwasi maana hao sio polisi.
Si kuna JKU huko, ondoa shaka mkuu.Hatuna wasiwasi Na Jeshi tuna wasiwasi Na uchumi kuzidi kuporomoka, Hofu ikitanda hakuna kinachoendelea Na kila mmoja atasema anavojua yeye.
Soma uzi vizuri acha kuropoka hujaambiwa gari za polisi tunazungumzia vifaru vya jeshi la wananchi,harafu hata kama uchaguzi bado vifaru vinazunguka mitaani kufanya nini?ifike mahali uwe una soma vizuri uzi ndiyo uchangie.Hatari ya nini? Unafiki utawauwa nyie watu. Hujawahi kuona gari ya polisi kipindi cha uchaguzi?
Unataka waachwe waumizane ndio apeleke polisi, au unataka Rais afanyaje??Ukweli ni kuwa uchaguzi utarudiwa kama hutaki kaa nyumbani usipige kura lakini usizuie wala kudhuru wenzio. Hao askari ni kwa ajili ya kulinda usalamakwa kweli kinachoendelea huko Pemba kwa kuonekana kuranda randa kwa magari ya deraya na maroli yaliyosheheni Askari Polisi na wanajeshi bila shaka hari ya kwenye visiwani hivyo imevuka mipaka ya kudhibitiwa kwa nguvu ya Polisi wa kawaida.
Lakini Askari hao hasa wa jeshi la wananchi na vifaru vyao wanaoonekana huko Pemba ni lazima kwanza waruhusiwe na Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi kuwa mitaani baada ya yeye kujiridhisha kwamba ulinzi wa kawaida kwa kutumia Askari Polisi umeshindikana. Jee magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania aliwahi mahala popote kuwaambia watanzania kwamba sehemu moja ya nchi yao usalama wake ni tete na unahitaji jeshi la wananchi kuingia?
Ni lazima tuwe na Katiba inayoweka mipaka kwa wanasiasa kuyatumia majeshi yetu kwa manufaa yao ya kisiasa. Ni haki kweli kuwa na vifaru kwenye mitaa ya nchi yako kama vile kuna vita dhidi ya raia unaowaongoza?
Nahisi alitangaza siku alipowahitubia wazee wa mkoa wa dar,labda kama hukumuelewa vemakwa kweli kinachoendelea huko Pemba kwa kuonekana kuranda randa kwa magari ya deraya na maroli yaliyosheheni Askari Polisi na wanajeshi bila shaka hari ya kwenye visiwani hivyo imevuka mipaka ya kudhibitiwa kwa nguvu ya Polisi wa kawaida.
Lakini Askari hao hasa wa jeshi la wananchi na vifaru vyao wanaoonekana huko Pemba ni lazima kwanza waruhusiwe na Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi kuwa mitaani baada ya yeye kujiridhisha kwamba ulinzi wa kawaida kwa kutumia Askari Polisi umeshindikana. Jee magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania aliwahi mahala popote kuwaambia watanzania kwamba sehemu moja ya nchi yao usalama wake ni tete na unahitaji jeshi la wananchi kuingia?
Ni lazima tuwe na Katiba inayoweka mipaka kwa wanasiasa kuyatumia majeshi yetu kwa manufaa yao ya kisiasa. Ni haki kweli kuwa na vifaru kwenye mitaa ya nchi yako kama vile kuna vita dhidi ya raia unaowaongoza?
Nakushangaa sana we mpemba .ungejuwa mnavyotupa tabu usingethubutu kuongea hayo unayoyasema.hivi tunafaika na nini zaidi ya kodi zetu kuendelea kuwatunza nyie akina yakheee?Kuchoma nyumba bila ya kujeruhi Na watu kuuana Kama kuku imekaaje? Au unajua mkipeleka vifaru huko Kwa wafugaji mtaitia Doa Tanganyika lakini Zanzibar mkisikia hata watalii hawaingii Na watu wanakufa njaa Ndio mtafurahi. Acheni kulazimisha mambo, lengo lenu ni kuiona Zanzibar haiwezi hata kumuajiri mtu.
Kwani hao askari wanaolinda usalama wamekupiga au kukuzuia kufanya shughuli zako?wanalinda msije kuchoma moto ofisi za ccm kama mlivyofanya unguja juzi kati hapa.Tanganyika risasi sasa hivi zinalia kila kona, ukizubaa unaondoka duniani lakini hakuna kafew, kila siku Dar tuu watu 3 mpk 4 wanakufa ama Kwa risasi au mwizi kakamatwa lkn cha ajabu hatusikii hata kiongozi kukemea ni Kama fashion, lkn Zanzibar unaweza ukamaliza miaka 3 hakuna mtu aliyeuliwa Kwa Janga lolote Je wapi hakuna Amani? Wapi kunastahiki kutembeza majeshi? Wapi panastahiki kukemewa? Wapi kunastahiki kafew. Tuweke I siasa pembeni Jamani tuangalieni Kwa utu pia.
Unyonge huu tulionao Na tuliorithi tusinyanyasike Kwa sababu ya siasa, wanaofanya siasa fanyeni Na sisi wahangaikaji tuachieni tuhangaike. Kila mmoja mkono wende kinywani, ninaamini hata hao Ccm wengine hawayapendi haya lkn ha uko huru kusema.
Sasa kama chuki zinapikwa nani mjinga hapo.mzanzibari au mtanganyika?Mzee wangu hujui unachokiongea, Zanzibar Chuki ni Za kutengeneza, zinapikwa kama ubwabwa. Ili watu uwatawale uwagawe.
Mimi Kama Mimi Kwa hapa tulipofikia Na tunakokwenda kwakua tunakokwenda kila siku Ndio mahitaji yanaongezeka Na mapandikizi ya Chuki yanakua, basi naamini chuki zitazidi kuliko kupungua kwakua sumu inayotumika hapa ni ya kifedha. Ni shida Kwa kweli.
nilipokua zanzibar nilileta uzi hapa na kuelezea zanzibar inapoelekea lakini lile group la lumumba wakaanza kutoka povukwa kweli kinachoendelea huko Pemba kwa kuonekana kuranda randa kwa magari ya deraya na maroli yaliyosheheni Askari Polisi na wanajeshi bila shaka hari ya kwenye visiwani hivyo imevuka mipaka ya kudhibitiwa kwa nguvu ya Polisi wa kawaida.
Lakini Askari hao hasa wa jeshi la wananchi na vifaru vyao wanaoonekana huko Pemba ni lazima kwanza waruhusiwe na Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi kuwa mitaani baada ya yeye kujiridhisha kwamba ulinzi wa kawaida kwa kutumia Askari Polisi umeshindikana. Jee magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania aliwahi mahala popote kuwaambia watanzania kwamba sehemu moja ya nchi yao usalama wake ni tete na unahitaji jeshi la wananchi kuingia?
Ni lazima tuwe na Katiba inayoweka mipaka kwa wanasiasa kuyatumia majeshi yetu kwa manufaa yao ya kisiasa. Ni haki kweli kuwa na vifaru kwenye mitaa ya nchi yako kama vile kuna vita dhidi ya raia unaowaongoza?
Nakushangaa sana we mpemba .ungejuwa mnavyotupa tabu usingethubutu kuongea hayo unayoyasema.hivi tunafaika na nini zaidi ya kodi zetu kuendelea kuwatunza nyie akina yakheee?
Mkuu, atawezaje kupiga picha maroli na vifaru vya jeshi, kwani yeye hajitaki?Tupieni kapicha bac...
Kwahiyo mmekubali tuwagombanishe ili sisi tunufaike (sijui kwa lipi). Basi nyie mafalaNa mm nakushangaa ungejua munavotutia kwenye matatizo ya kugombana sisi Kwa sisi, usingenyanyua uso wako, shida yenu ni kuiona Zanzibar Haina tena cha kuzalisha labda wavuta unga.
Inawezekana wazanzibar ni mafala lakini kitu cha ajabu tanganyika yenye takribani watu milioni 45 wanazidi kuwa maskini eti tu kisa na sababu zanzibar yenye watu milion 1.5 ibaki kwenye muungano.Kwahiyo mmekubali tuwagombanishe ili sisi tunufaike (sijui kwa lipi). Basi nyie mafala