Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 24
Akianza ka ya tunisia atatulia kidogo
na bado, leo ndio anakwenda Addis Ababa kwa siku 3 ya AU
Jamani hivi ni lini Mkuu wetu wa nchi atatulia nchini na kulitumikia taifa...! Hivi sasa yupo huko Geneva, Swiss...! Hivi hizi safari zake zina maslahi yoyote? :sad:
View attachment 21681
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon jijini Geneva Uswisi. Rais Kikwete yupo nchini humo kwenye Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Habari na Uwajibikaji wa Afya na Wanawake na Watoto.
unategemea nini wakati utotoni alikuwa anapenda kula miguu ya kuku..yaani akikaa ofisini anaona miguu inawashaJamani hivi ni lini Mkuu wetu wa nchi atatulia nchini na kulitumikia taifa...! Hivi sasa yupo huko Geneva, Swiss...! Hivi hizi safari zake zina maslahi yoyote? :sad: