Ni lini Kapuya atatitinga mahakamani?

Ni lini Kapuya atatitinga mahakamani?

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
25,995
Reaction score
25,392
Wakati Bwana Kapuya alipombaka na kumuambukiza mimba na ugonjwa msichana wa shule, alitishia kulishitaki gazeti la Tanzania Daima lililokuwa likiripoti uhalifu alioutenda. Katika kutaka kufurukuta, Kapuya alimtaka mhariri wa gazeti hilo kumuomba radhi ndani ya siku 7 la sivyo angemburuza mahakamani. Hadi sasa imepita takribani miezi 5 tangu Kapuya atoe tishio hilo lakini hatujawahi kumsikia akienda mahakamani kusafisha ‘heshima yake’ aliyojijengea kwa muda mrefu sana.

Hii moja kwa moja inathibitisha kwamba Bwana Kapuya alizini na mwanafunzi huyo na kwamba alimuambukiza ugonjwa mbaya na usiotibika. Kilichobaki sasa ni kutazamia kuwaona wanaharakati wa haki za binadamu wakimshughulikia Bwana Kapuya kwa kumdhalilisha na kumzalisha mwanafunzi, hivyo kumharibia masomo na kumpoteza kimaisha kwa kumuambukiza magonjwa ya ngono. Natoa wito kwa msichana husika (pamoja na mshirika wake) atoke mafichoni alikojificha na kuwaona wanaharakati na wanasheria ili wamchukulie Kapuya hatua za kisheria na kinidhamu kwa uhalifu alioutenda huku akilindwa na chama chake cha kifisadi, bila kuzingatia athari alizosababisha kwa mtoto wa watu.

Kweli huyu Babu ameamua kuharibu maisha ya mwanafunzi huku serikali ya chama tawala ikimchekea licha ya kwamba msichana aliyeambukizwa mimba na maradhi alishawahi kwenda hadi bungeni na kuonana na Bi Kiroboto lakini akamdis? Haki iko wapi nchi hii? Ni kwanini Kapuya amefikia kitendo hiki kibaya kuwahi kutendwa na mwanasiasa wa kariba yake katika nchi hii? Watoto wa wanyonge tukawafiche wapi dhidi ya ubarudhuli wa wanaume wenye mihemuko ya kiuwenda wazimu kama Kapuya?

Ijulikane kwamba, hata kama Kapuya analindwa na vyombo vya kisheria vya CCM, pindi ipo siku atakuja kusimamishwa mbele ya sheria kujibu dhambi zake alizozitenda kwa huyu binti mchanga asiyekuwa na hatia. Akae akijua kwamba mshahara wa dhambi ni mauti. Kitendo cha Babu huyu kudiriki kuingiza dudu yake kwa binti mdogo na kumsababishia maumivu makali, mimba na maradhi hakiwezi kuvumiliwa hata kidogo.:israel:

View attachment 142782
 
Hivo jamaa akibambia na nguo anakutia mimba je akibambia bila nanii inakuaje mazeee
 
attachment.php
Yap ... waziri wetu wa ulinzi/waziri wa elimu ...
 
duh hyo dem ashapewa mshikooo katuliaaaaa..
..
hata hvyo hako kadem kalikubali chenyewe
 
Yap ... waziri wetu wa ulinzi/waziri wa elimu ...

Sema WAZIRI MKUU. Hii ndio gear aliyotumia kumtisha mwanafunzi kabla ya kumbaka na kumsababishia mimba, maradhi na maumivu makali.
 
Yap ... waziri wetu wa ulinzi/waziri wa elimu ...

Juzi nilimuona Kapuya bungeni Dodoma. kumbe waziri eetu wa elm na ulinzi yuko nchini. Sijaona akiguswa na vyombo vya dola. bungeni safari hii haongei kitu
 
Juzi nilimuona Kapuya bungeni Dodoma. kumbe waziri eetu wa elm na ulinzi yuko nchini. Sijaona akiguswa na vyombo vya dola. bungeni safari hii haongei kitu

Yupo anaendelea kula bata. nani wa kumfunga wakati alitamba kwamba watoto wao wanauza lakini hawakamatiki? nani athubutu kumkamata na kumfungulia mashitaka 'waziri mkuu'?
 
Asante sana tpaul kwa kufufua hii ishu maana ilikuwa ishapoa sana. Kuna matukio yalitokea hapa katikati hadi kufanya hii ishua kuanza kufifia na ikiachwa itafifia na kusahaulika kabisa kama ile ya Mbunge Rosweeter kufunga ndoa na kijana mdogo umri wa mtoto wake iliyofungishwa na Mch.G.Lwakatare. Ishu hii imepooooaaa, dorooooo, imeshapungua hata makali.
Ila tu hii habari yako edit kidogo hapo ulipoandika Bi.Kiroboto, mpe heshima yake tu huyo mheshimiwa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom