Ni lini hasa mkuu wa nchi amefanya ziara mikoa ya kusini?

kwa maoni yangu huwezi kama mkuu lazima uone namna ya kubalance 1:1 na sio kwa hio ratio 4:1
 
Subirini May mori atakuwa njiani akitoka Katavi baada ya safari ndefu kutoka chato->kigoma->Katavi->sumbawanga->mbeya->makambako->iringa then to chamwino.
 
Back
Top Bottom