Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu binafsi huwa naona CHADEMA kama chama kikubwa sana lakini sijapendezwa na Kitendo cha Chama hicho kupanga geto Maeneo ya Ufipa-Kinondoni kama Chama Kinachoshika wawakilishi wengi ndani ya Bunge kilistahili kuwa na Ofisi nzuri zaidi.
Niwaulize wananchama wa CHADEMA mna mpango wa kujenga ofisi kuepuka kuishi na watu mitaani kwa sababu ACT kina ofisi nzuri zaidi yenu fedha za Ruzuku kutoka Serikalini huwa zinatumikaje?
Niwaulize wananchama wa CHADEMA mna mpango wa kujenga ofisi kuepuka kuishi na watu mitaani kwa sababu ACT kina ofisi nzuri zaidi yenu fedha za Ruzuku kutoka Serikalini huwa zinatumikaje?