Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Hi naomba kuuliza ukifanya practical interview, Ni lazima upewe mrejesho, au wanaweza piga kimya ata Kama umefahuru au umeferi
Karibu
Karibu
Lazima majibu yatoke na ujue baada ya hapo ni oral ndo inafuataHi naomba kuuliza ukifanya practical interview, Ni lazima upewe mrejesho, au wanaweza piga kimya ata Kama umefahuru au imeferi
Katibu
Sawaa, nashaangaa jamaa hawajanipa majibu Ila wameniambia watanicheki back soon for updates and next stepsLazima majibu yatoke na ujue baada ya hapo ni oral ndo inafuata
LazimaHi naomba kuuliza ukifanya practical interview, Ni lazima upewe mrejesho, au wanaweza piga kimya ata Kama umefahuru au umeferi
Karibu
Sawaa, nashaangaa jamaa hawajanipa majibu Ila wameniambia watanicheki back soon for updates and next steps