Mamboz ma great thinkers? Hivi,
Nikiweka post inayohusu eg mapenzi ni lazima hicho ninachoongelea kiwe kinanihusu mimi?
Cann't i say something on behalf of someone?
Halafu, tunatakiwa kuchangia hoja na mtoa hoja au tunachangia hoja tu.
Naombeni kueleweshwa jamani, sina muda mrefu kwenye huu mkeka.