Ni kweli?

We mama!Acha usodoma,shetani anakushauri kufanya jambo hilo,faham kuwa mkianza kufanya anakimbia,anaogopa kushuhudia,sembuse nyie!Halafu hivi mkishauriwa humu mfanye mtafanya?Mambo mengine hayahitaji ushauri!
 
Duuuhhhhh
Sidhani kama kama kafanya hivyo
Kutaimarisha ndoa..
Na nivipi akichoka nayo au ifike ile
Hali ya mdomo wa mamba...

Si ndoa itapukutika ..
 
DuuuhhhhhSidhani kama kama kafanya hivyoKutaimarisha ndoa..Na nivipi akichoka nayo au ifike ileHali ya mdomo wa mamba...Si ndoa itapukutika ..
Kumbe huwa inakuwaga kama mdomo wa mamba!Duh!
 
Juzi ulituletea hii thread...Kuna mkaka anapitaga hapa mtaani kwetu, yaani nampenda ila kumwambia ndiyo nashindwa, usoni naona haya, hata sijui nifanyeje? Nisaidieni pleeeease.

vipi umeshampata,mmeoana na anataka kuruka ukuta?
im just curious.
 
Kwani kuolewa ndiyo huwezi kutamani wa nje? wee vipi?
 
Hiyo avatar yako sichoki kuiangalia, japo sina uhakika kama naipenda au naichukia.

USIJARIBU KUMRUHUSU KUVUKA UKUTA,
KWA SABABU NI HATARI KIAFYA, PIA KIIMANI HAIJARUHUSIWA.
 
sasa utaweza kuruka ukuta kweli.Usikubali mambo ya kuruka ukuta, ukidondoka utaumia vibaya sana.Lakini kwa nini msipitie mlangoni tu au dirishani?.Ukishaumia baada ya kuruka ukuta ndio utajua hakuna ndoa tena.Usikubali.
 
Thx kwa ushauri
 
Ukuta ni mzuri sana we ruka tu haina madhara yoyote !uakikishe una vaseline lakini usije umiasana kwa raha zako mtoto wa kike Ruka ukuta huo ndo wakati wake ati!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom