Ni kweli yametokea

mmmmmh! mbona kama yule wa kwenye nishatiii, watoto wa siku hizi wana mambo. anaanzee kumpapasa bibi yake? bibi anashikaje kikojoleo cha mjukuu wake? anafika kilele cha mlima asemaje? maswali yakujiuliza hayaishi.

U can ask 1000 unswered questions! U can even go ahead to write a noval or a movie script! Ha! ha! haa!
 
Reactions: awp
Katika hali kama hizi, sijui kama wote wawili wanakuwa wako normal !!
 

Attachments

  • marry_old-woman_young_man.jpg
    37 KB · Views: 283
Hapana si kweli hapo. Dogo kapiga picha na bibi yake ambae wanapasha kiporo na babu yake yuko kushoto mwa bibi ila picha imekatwa hapo. La sivyo ningezimia!!!
 
Mmh we mwenzangu umenizidi sana, afadhari mie na huyu wa kwangu.
 
Hii ni ndoa ya kikristo na kwa jinsi ilivyo mwanamke huwa upande wa kulia wa mwanaume, inakuwaje hapo huyo bibi harusi awe upande wa kushoto? nafikiri ndiyo swali la kwanza la kujiuliza hapo.
Naunga mkono hoja ya mheshimiwa facilitator kuwa huyo si bwana harusi bali aliitwa tu kupiga picha pengine na wazazi wake pale walipobariki ndoa yao.
 
Katika hali kama hizi, sijui kama wote wawili wanakuwa wako normal !!

afadhali hawa kuna uthibitisho ni wapenzi ILA wale pale juu mmm labda zitakuwa nyingi, labda ni mjukuu, lbada ni mtoto n.k

kweli mapenzi ni upofu.
 
Hapana si kweli hapo. Dogo kapiga picha na bibi yake ambae wanapasha kiporo na babu yake yuko kushoto mwa bibi ila picha imekatwa hapo. La sivyo ningezimia!!!

Uko sahihi Lubaluka hata ukiangalia wanavyo fanana sura utagundua kuwa dogo yuko na bibiyake tena mzaa baba na si vinginevyo! la sivyo ni laaanaaaa!!
 
mmmmmh! mbona kama yule wa kwenye nishatiii, watoto wa siku hizi wana mambo. anaanzee kumpapasa bibi yake? bibi anashikaje kikojoleo cha mjukuu wake? anafika kilele cha mlima asemaje? maswali yakujiuliza hayaishi.
HUU NDIO UTANDAWAZI a.k.a ubongowazi
 
huyu mtoto anataka kuchungulia nini kwa bibi yake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…