Ndondobwila
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 562
- 409
Hodi wanaJF,
Katika kinyang'anyiro cha watia nia ya urais ndani ya CCM, jina la Pinda na Bilal yalikatwa na kamati ya maadili ya hicho chama. Je, hii ina maana viongozi hawa wa juu sana serikalini hawana maadili? Wamewezaje kuwa wasaidizi wa karibu kabisa wa rais kwa kipindi chote hiki?
Mimi naona wameaibishwa sana, tena sana mbele ya jamii ya Watazania. Watamalizaje muda uliobaki?
Yaani Watanzania tunaongozwa na wasio na maadili? Wangekatwa na CC au NEC ingekuwa afadhali.
Tujadili----