Ni kweli ndugu. Wajane kina mama ni wengi sana kuzidi wajane wanaume. Yaonesha wanaume wanakufa mapema zaidi. Hii pia ni kwa vile wanapofunga ndoa mara nyingi mume anakuwa anamzidi miaka kadhaa mke wake. Na hii kufanya mme kuzeeka kabla ya mke na hivo kuwa na uwezekano wa kufa kabla ya mke. Kumbe yafaa kupanga mapema mambo ya mali na urithi.
Mhhh mkuu umeenda mbali sana, hapo sio swala la kufa tu, anawaza akifa yeye mwanzo ni sawa je ukifa wewe inakuwaje ikiwa humwonyeshi mali zako zote? au unataka mpaka ufe ndio aanze kutafuta mali zako?Ndugu,
Mimi nimeoa na nina watoto. Nimekuwa nikisikia mara kwa mara kutoka kwa wake wa kaka zangu wanashitakia kwangu kuwa kaka zangu hawafahamishi wake zao juu ya mali zote wanazomilki, deals zao na business contacts.
Hoja wanayoileta ni kuwa pindi wanaume wao watakapo kufa wao na watoto watapata shida!
Hivi karibuni na mimi nimeanza kupigiwa makelele haya haya.
Ninachojiuliza kwa nini hawa wanawake wanadhani wanaume ndio watakufa kwanza wawaache wake na watoto? Nadhani hata nyinyi ndugu mmewahi kusikia hili..
Je kuna ukweli wowote? Kuna takwimu zozote za kuthibitisha hili? Au ni janja yao tu kudai maslahi?
Tafadhali saidia mimi
kuna ubaya gani ukimshirikisha mkeo mali/biashara mlizonazo..........wakati mwingine mali zinapotea au kutokujua namna ya kuziendeleza unapofariki.....kumbuka ni faida pia kwa watoto wako unaowaacha
Hilo nakubali.....ila la kutangulia kufa nina mashaka nalo! wasije wakawa wanatumachame kwa kuamini tunatakiwa tufe mapema!
Labda anaogopa mtindo wa baadhi ya wanawake kuwaua wanaume kwa lengo la kumiliki malikuna ubaya gani ukimshirikisha mkeo mali/biashara mlizonazo..........wakati mwingine mali zinapotea au kutokujua namna ya kuziendeleza unapofariki.....kumbuka ni faida pia kwa watoto wako unaowaacha
Kwa hilo neno ulilobold ghafla nimekosa msukumo wa kuchangia thread yako...kila la kheri!Hilo nakubali.....ila la kutangulia kufa nina mashaka nalo! wasije wakawa wanatumachame kwa kuamini tunatakiwa tufe mapema!
Hilo nakubali.....ila la kutangulia kufa nina mashaka nalo! wasije wakawa wanatumachame kwa kuamini tunatakiwa tufe mapema!
sababu nyingine ni kuwa wanaume wanafanya kazi nyingi zilizo-risky na kwa hiyo kuongeza possibility kufa mapema