ni kweli wameamua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni kweli wameamua?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kobe, Aug 14, 2009.

 1. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  nimeona niwaulize wana Jf kweli viongozi wameamua kupunguza gharama za matumizi ya magari yao (mashangingi) kwa dhatia (kuionea huruma nchi) au ni geresha tu kuelekea uchaguzi mkuu? Then wakikamata madaraka wakamue kama kawa.!
   
Loading...