Ni kweli viongozi wetu wengi ni wagonjwa?

na kwa hali hiyo usije ukaona ajabu kwa kutoa maelezo ya hovyo hovyo, kusimamia na kutetea mikataba mibovu, utendaji mbovu, ubabe, kuwaibia na kuwadhulumu wanyonge,kutojali kitu, yote hii hii mijoka ya midimu (sinania ya kuwacheka au kuwazomea lkn huo ndo ukweli wa wayafanyayo) inafanya hivo sbb they feel they have nothing to loose... to them life doesn't matter...
 
Jikumbusheni hoja na wachangiaji wa zamani, kuna mengi ya kujifunza.[/QUOTE]


Dada FF,

Mimi sio mtu wa siku nyingi JF, na hata juzijuzi nilicomment kuwa there are some people "Think Tanks" we are missing, wewe ni mmoja wa watu wa siku nyingi JF.

Ninachojiuliza, ni kwamba JF imevamiwa na dotcom hivyo wale Think Tanks wakaamua kuachana nayo au?. Thread za nyuma were constructive, argumentative and educational, infact mtu ukizisoma unaona kweli ni GT, naona wamebaki wachache like MM, NN, Mkandara yourself and few others.

Now what can we do to bring back the old JF of GT?

I miss JF
 
Jikumbusheni hoja na wachangiaji wa zamani, kuna mengi ya kujifunza.


Hilo unalosema ni kweli kabisa, wengine ilobaki mazowea tu, mahaba hapana tena.

Utakuta wachangiaji wa zamani wenye kujenga mada, kupingana bila kejeli wala matusi wamepotea, wengi ni watu na heshima zao na wanaona watakuja jivunjia heshima bure. Tulobaki ni "die hard".
 

FieldMarshall Wagonjwa wako wameshapona Ukimwi?
 
FieldMarshall Wagonjwa wako wameshapona Ukimwi?

- Hizi ndio enzi tulikuwa JF kweli Serikali ilikuwa inatusikiliza kwa kila tunalolisema hapa, lakini not anymore kumezuka Miungu watu humu na wameingia wapiga ramli wengi hamna hoja tena!! so!1

Es!
 
- Hizi ndio enzi tulikuwa JF kweli Serikali ilikuwa inatusikiliza kwa kila tunalolisema hapa, lakini not anymore kumezuka Miungu watu humu na wameingia wapiga ramli wengi hamna hoja tena!! so!1
Es!

Nice!, well said!!
Mkuu, hapo nakupa tano!
 
 
FMES hao wabunge 10 bado wapo? Kama wapo washausambaza kwa wangapi?
 
Mzee wa Sauti Ya UMEME,Ebu tupe Update ya hao wabunge na hali zao kwa sasa ili tujue kama zilikuwa akili za usiku tu au ilikuwa kweli hisia zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…