Vinci Dayot Upamecano
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 523
- 1,277
Count Capone alishasema haina haja ya kujuliana hali sasa kila mtu apambane na Hali yake.
Kama utakuwa na mjukuu, mtoto, Mdogo au Kaka/dada wa miaka ya kuanzia 1996-1999 utakubaliana na mimi kuwa hiki kizazi ni Gifted. Ni kweli kuwa no research then no right to speak, lakini mimi katika utafiti wangu mdogo usio rasmi ukiungwa mkono na baadhi ya watu wa rika tofauti nimekubali/tumekubali na kupitisha kizazi hiki kuwa ni kizazi kilicholetwa Duniani kwaajili ya mageuzi mengine katika karne ya 21.
Achana na Panya road wa 2000s hawa wanaoshindana kutoa connections kila uchwao, Hawa wa 1996 to 1999 majority wameshatoka vyuoni na sasa tupo nao mtaani, tunawaona wanavyochacharika kutushinda hata sisi kaka zao wa Early 1990s. Ukiangalia kwenye tasnia tofauti tofauti kuanzia Comedians, Musical, Football, Films n.k wenyewe ndo wameshika hatamu.
Sio Tz au Africa tu angalieni world wide vijana wa rika la 23-26 ambao ndio wamezaliwa 1996-1999, wao ndio wanaapear sehemu nyingi zaidi kwa mazuri ukilinganisha na wa mbele yao au wa nyuma yao. Vijana wamekuwa na moyo wa kufanya kazi kwa bidii ukilinganisha na wale wa nyuma yao waliokuwa wanashinda vijiweni kula unga na madawa. Hawa wa mbele yao pia ambao ni kuanzia 2000 tuwaombee sana maana wana hali mbaya na sasa wanajiita vijana wa hovyo.
Kwa Tanzania vijana wengi wa miaka hiyo wanafanya makubwa na mazuri sana tu nyie wenyewe ni mashahidi sioni ulazima wa kuweka samples. Na kwakuwa sisi wa 1980s- Early 1990s tumeshindwa kuleta Mageuzi nchini kwetu basi naamini vijana hawa wanakuja kufanya kitu miaka ya hivi karibuni.
Where we dare to talk openly!