Hata wewe pia unakusumbua kwa sababu umewaza neno ushirikina.
sikiliza ww acha kutupotezea muda hiyo sehem uliozungushia duara si chupa ya maji au huna macho??
Kama hujaona cm yako ni aina gn kuna pcha za aina mbili mnyama na mtu
ww umeona nn?Chupa ya maji hahaaaa
umenena vyema kabisa miss chaggani mawazo yetu yanatengeneza hayo madudu mfu yasiyokuwepo
ni mawazo yetu yanatengeneza hayo madudu mfu yasiyokuwepo
ww umeona nn?
Wewe hebu acha porojo umetuonesha ili tujue unatumia smartphone ambayo umedownloading PHOTO EDITOR MAX hahaha.?
Najionea noto waungua na mabaki tu....
ni mawazo yetu yanatengeneza hayo madudu mfu yasiyokuwepo