Ni kweli ukiizoom unapata picha ya simba?

Kwenye moto naona mfano wa wanyama, mmoja mkubwa na mdogo nyuma...

Lakini hapo palipozungushiwa naona mfano wa mtu aliye vaa vazi jeupe na mkanda au kama / mshipi / mkwiji kiunoni!
 
Mhhhhhh! Tusipuuze sana, panaweza kuwa na maana sana pale kwa ile picha.....
 
Ee Mungu irehemu Tanzania. Hizi ajali na jinsi mambo yalivyo tutakuwa tumemess up sehemu.
 
Kwa hiyo unataka kusema hicho kipicha hapo chini ni bikira maria??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…