Ni kweli tunalishwa mbuzi choma au kuna walakini hapa?

Kuna siku nlikuwa maeneo ya makao mapya arusha kuna baa flan hv jina la mbuga nafikiri ilkua 2017 mwishon hv yan n saa nne usiku nna njaa hatar basi nikaagiza chips kavu na mbuzi yan ile nyama ya mbuzi nlikuwa siielew kabisa yan nikasema hapa tayari nimepatikana
Mkuu ungekula tu huwezi kufa haaa haaa
 
akili yako sio nzuri...kifupi hujatembea....Tanzania ina wanyama wa kutosha ata ukisema kila siku kila mtu ale mbuzi mmoja peke yake hatuwezi kuwamaliza...
 
Back
Top Bottom