CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
Morning KWA SABABU "CHUMA".......
Miradi yake mingine inaleta foleni, haina maana na hasara?...Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga....Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina Bagamoyo kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie, ... Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, ruhusuni Chanjo ya Corona, Uhuru waMateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.
" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Masikini" - JPM.
Lengo na dhamira yako kuongea hivo ni Nini?!Morning KWA SABABU "CHUMA".......

Tutaelewana tu, umeshakunywa uji??? Mlitaka tuendeleze ukulima tu, nchi haiendeshwi kwa mihemko na ukanda. Lazima tuwe na mipango sio kumwaga mahela kwenye kila unachowaza tu. Yule bwana baada ya kuona anaweza kushika mabilioni alipagawa sana akawa kichaa akitaka ndege ananunua tu hata hachanganui. BullshitMorning KWA SABABU "CHUMA".......
Miradi yake mingine inaleta foleni, haina maana na hasara?...Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga....Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina Bagamoyo kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie, ... Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, ruhusuni Chanjo ya Corona, Uhuru waMateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.
" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Masikini" - JPM.
Well said broMorning KWA SABABU "CHUMA".......

so ww unafikiria straightLengo na dhamira yako kuongea hivo ni Nini?!
Inarelate vp hayo Mambo kuhusu mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo?
You are not thinking straight
View attachment 1752506