Mleta mada hujaelewa hiyo picha au umeamua kututega sisi wachangiaji. Hapo kuna mzazi na mwanae wanaangalia tv, picha mbovu zinzonyeshwa mf. mauaji, mtu yupo uchi, nk na mzazi hajali kabisa ila kwenye BANGI mzee amekuwa mkali na kumfunika mtoto macho asione.
Hata mimi kila siku nashangaa ninapowaona wakuu wa wilaya na mikoa wanavyotembea na vidumu vye petroli na mapanga kwa ajili ya kufyeka na kuteketeza bangi huko vijijini ambako hata barabara hakuna wakti hapa tu mtaani watoto wa shule za msingi wapo wanatandika mikeka (kubeti) na kushinda kwenye mabanda ya video ambapo picha za ngono zinaonyeshwa kuanzia saa mbili asubuhi!