Phobia
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,181
- 1,877
"Baada ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kutoa tamko imeonekana Uislamu ni dini ambayo haiangalii maisha ya wanawake, haiwajali wanawake lakini ukweli ni kuwa Uislamu umemthamini sana mwanamke.
"Katika Uislamu mwanamke akiolewa anatakiwa kustarehe tu, hatakiwi kufanya kazi yoyoye na kila kazi ndani ya nyumba ni mwanaume ndiyo anatakiwa kufanya na kama anafanya ni kwa kupenda.
"Yeye mwanamke ni pambo la nyumba, mume nikirudi nijisikie raha kumuona mke wangu amekaa pale na si kuchota maji, kupika, hizi ni shughuli za mwanaume kwa Muislamu isipokuwa tu mwanamke anafanya kwa kukusaidia kuwa ukirudi umechoka."