Kabla ya TRA kulikuwa na nini?
Ni kweli kabisa. Sheria ya kuanzisha TRA ilitungwa 1996 na TRA ikaanza kazi rasmi 1997 na kamishna mkuu wa kwanza alikuwa Melchizedeck Sanare!Mkapa ndiye aliye introduce kodi ya VAT nadhani mwaka 1997.
Siyo wazo lake, lilikuwa ni moja ya pendekezo kwenye The Structural Adjustment Program.Kulingana na kitabu cha Mzee Mtei ,,from goatherd to Governor'' uundwaji wa TRA ilikuwa ni wazo lake, aliishauri Serikali ya JMTZ wakati akiwa kati ya IMF au WB sikumbuki sawa sawa, hivyo ni Raisi gani aliyetekeleza nimesahau inabidi nikisome tena kama siyo Mkapa basi ni Mwinyi, lkn kulingana na Mzee Mtei (kwenye kitabu chake) waliunda TRA kwa kufwata/iga mfano wa Kenya na KRA, ...
Upo?Siyo wazo lake, lilikuwa ni moja ya pendekezo kwenye The Structural Adjustment Program.
Mchakato ulianza kipindi cha awamu ya Mzee Mwinyi.
Kulingana na kitabu cha Mzee Mtei ,,from goatherd to Governor'' uundwaji wa TRA ilikuwa ni wazo lake, aliishauri Serikali ya JMTZ wakati akiwa kati ya IMF au WB sikumbuki sawa sawa, hivyo ni Raisi gani aliyetekeleza nimesahau inabidi nikisome tena kama siyo Mkapa basi ni Mwinyi, lkn kulingana na Mzee Mtei (kwenye kitabu chake) waliunda TRA kwa kufwata/iga mfano wa Kenya na KRA, ...