Ni kweli mapenzi yana nguvu



Usijitese kihivyo.....dozi ya mapenzi ni chloroquine vidonge 30 ukichanganya na Quinine 20, kunywa na beer kisha ulale...ukihamka utajisikia swari tu.
 
...it is very easy,meditation ni dawawa moja nzur sana,inasaidia kujicontrol kihisia .
Kwa maelezo mazur kuhsu hyo ktu muone mshana Jr
Aseee itabdi nitafute nyuzi za hii kitu nianze kufanya mdogo mdogo
 
inaonekana haujawa mzoefu kwenye hayo mambo, ni kawaida hiyo.
na ipo siku utaumia, siki utafurahi sana, hivyo jiandae kwa vyote, mwisho wa siku utajua namna ya kubalance mambo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…