Ni kweli mapenzi yana nguvu

Asante kwa ushauri
 
Tafuta bakabaka ukishalipata, yeye ndo atakuwa anakuonea wivu.Bakabaka NI VAZI TUKUFU SANA, UKILIPATA TUU, KILA KITU KITAKUWA KIZURI AU UKIPATA PESA TUU, ATAKUTAFUTA YEYE MWENYEWE NA KUKUONEA WIVU.
 
Tafuta bakabaka ukishalipata, yeye ndo atakuwa anakuonea wivu.Bakabaka NI VAZI TUKUFU SANA, UKILIPATA TUU, KILA KITU KITAKUWA KIZURI AU UKIPATA PESA TUU, ATAKUTAFUTA YEYE MWENYEWE NA KUKUONEA WIVU.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] linauzwa wapi hilo nkanunue
 
..love is serious mental illness

Fanya meditation kwa wingi utamsahau tu,
Mm nkiona.akili yangu unamuwaza sana mtu ambaye hana hisia zozote kwangu ni kumfuta kabisa ktk kchwan kwa kufanya meditation...
How is that possible
 
Iweje furaha inageuka kua mateso mkuu?? Haya ninayopitia ni zaidi ya mateso
Una umri gani!?.....maana kuna umri unapoanza mapenzi unakuwa unapenda mpaka unakuwa kama chizi!....si wengine tushakuwa makonki hatupendi kihivyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…