NI kweli mapenzi ya mbali hayadumu?

poa bwana kwa kuonyesha bado unaenzi misemo ya babu na bibi zetu,ni kweli haiui bt inaitaji uvumilivu.
 
cjichangaji yaan kwa mtazamo wangu na fikra zangu naona yandumu na ndio nataka nianze coz naamini yanadumu bt nilivyoomba ushauri wengi wanasema hayadumu,na ndio naendelea kuomba ushauri kwenu na ndio mana nikaweka kwa mfumo wa swali.
 
Yanaweza yakadumu ila cheating yake sasa wee......!! Most of people ambao wapo kwenye long distance relationship huwa wanashindwa kuvumilia/kucontrol hisia zao za kimwili na wengi wao hujikuta wanacheat. So, yanahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana. Ikiwa mnapendana na mna nia ya dhati, basi mtavumiliana na mtatimiza malengo yenu ila cha muhimu mnachotakiwa kukilinda katika uhusiano wenu ni mawasiliano, ofcourse mkizembea hapo tu mmekwisha!! Endapo kila mmoja wenu atatambua kuwa mahusiano yanadumishwa na "mapenzi ya dhati toka moyoni" na sio sex, basi hiyo itakuwa silaha yenu.

Hapo kwenye cheating ndipo patamu. Yaani mtu anaweza akaoa kabisaa, na wewe kila siku unapiga simu mnaongea wakati kumbe mpenzi wako/mkeo yuko kitandani na ''mume mwenzio''.

Wataalamu wanasema, cheating is the function of money, time and space. Mtu anaweza kuwa na time and money, lakini kwa kuwa mpenzi wake yupo na anambana, atashindwa ku cheat!

Mapenzi yanaweza kudumu lakini uwezekano wa ''kutafuniwa'' ni mkubwa mno.
 
yapo mapenzi ya mbali na some time hamja wahi kukutana haswa ktk maisha ,but tatizo uaminifu ,unaweza uka win au uka lost , bz hujui yule mtu akiwa mbali na macho yko nn ana kiwaza .,pengine humo kabisaa ktk roho yake na pia ktk uso wa furaha ,ana kusema kwa friend zake , pengine player,, bila shaka hujui tabia zake ,, tunafanya wengihizo mistake ,na nimeshaona madhara ya hayo watu walio patikana akina dada ,, kuna dada alitolewa bongo na man to india ,, ambaye walijua na kupitia online wakapenda na icho alicho kipata huko, balaaa,, man yko player hatari ,, then akamuacha kule kule na maisha ya india yalivyo ,, dada wa watu hakua na shilingi 5,ila watanzania walio kua pale ndio walio mpa support kurud dar -es-salaam,sasa mapenz ya mbali yapo lakin si wote wanao fanikiwa wao tunao danganywa,,
 
Back
Top Bottom