ganda la mua la jana
Member
- Jan 12, 2015
- 27
- 10
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa. Nasikia habari za Edward Lowassa kina Membe na wengine wengi. Ni kweli kila chama kina taratibu na ni vizuri hizo taratibu ziheshimiwe. Lakini nmejaribu kujiuliza mara nyingi hivi Edward Lowassa anatoa Rushwa au anasaidia watu? Kama anatoa Rushwa je kumsaidia mtu au jamii ni rushwa? Lakini kama sio rushwa kwanini speed ya kusaidia iongezeke kipindi hiki? Wana JF tusiwe wanafki tuseme ukweli tatizo kwa Edward Lowassa ni nini??