Kwa maana hiyo kama haya yote ni mali ya bwana?? Then hata hao vijana walozi na wanamiliki pesa ndefu nao ni wa MUNGU,, sasa si watuibie lonja asee,, kwa kweli mambo yanazingua
Part ya juu nilikuwa namwonyesha mambo ya kuotea tu, ambayo hayana mantiki.
Part ya chini namuuliza kama anafanya approach simple za kumpa mwanga wa kufanya biashara kwa ufanisi katika njia ambazo zina njia(means) na mwisho/matokeo(ends).
Aachane na mishe za technology za kienyeji