wadau kunamdau aliwahi kupost kuwa alikuwa amempata mpenzi wake na alipodoo naye aligundua kuwa yule mwenzake hana joto yaani ni wabaridi but kuna baadhi ya watu walipost kwa kujokes bt swala hili ni la kweli kwani nimejaribu kuulizia kwa watu mbali mbali hasa kijana moja aamelikuta suala hilo majuzi tu na mdada moja amesema huwa akipata boyfriend na wakifanya tu huwa wanamwacha na kuanza kumkejeli ati ye hana jotoso nambeni je kudoo ni suala muhimu sana katika mapenzi?Je?kwa mwadilifu anaye subiri hadi ndoa na akakutana na suala hilo afanyaje?Je?ni vizuri kujaribu kabla ya ndoa
Ni vizuri ukajaribu ili usijeuziwa mbuzi kwenye gunia!..
Sio kweli nyama zinatofautiana na madem ni hivyohivyo.Ndio maana iliwahi kuandikwa hapa ule usemi kwamba, "Mtamaliza mabucha yote lakini nyama ni ile ile." hauna ukweli wowote.
...kuna yaliyo ya muhimu na msingi zaidi kwenye maisha ya ndoa kuliko hilo joto la faragha.
Unapojitahidi kuonja onja kwingi na wa kwako anaonjwa hivyo hivyohaya ni matokeo ya utamaduni wa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Inasababisha KULINGANISHA. Na hakuna vifaa viwili vinavyofanana. hii tunaitumia kama EXCUSE ya kuendeleza ukware.
haya ni matokeo ya utamaduni wa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Inasababisha KULINGANISHA. Na hakuna vifaa viwili vinavyofanana. hii tunaitumia kama EXCUSE ya kuendeleza ukware.
nakuunga miguu na mikonoNi vizuri ukajaribu ili usijeuziwa mbuzi kwenye gunia!..