Ni kweli jamani?

Ni kweli ukiamini kweli,kwa kuwa unauliza kama ni kweli inawezekana isiwe kweli.
 
nilioipendaga ni ile anawaambia ma demu mpenz wako akishindwa kukupa ela ya saluni sio utafute mpnz mwingine bali utafute kazi
 
Huyu jamaa anaye endesha hiyo page nae huwaga anaongezeko la akili yani
 
Huyu jamaa anaye endesha hiyo page nae huwaga anaongezeko la akili yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…