Ni kweli gari aina ya volkswagen beatle na combi hazina "rejeta"?

Mimi sijui. Nimekuta huu ubishi mahali flani.


Ni hivi kazi ya rejeta ni kupoza injini iliyochemka sasa kuna aina mbalimbali za upozaaji injini unaweza kutumia maji (rejeta) au unaeweza kutumia hewa/upepo (air cooling) na ndivyo VW za zamani zilivyo hasa bito na kombi zilikuwa zinatumia upepo kupooza injini yake!
 
Back
Top Bottom