Ni kwelI DR MWAKYEMBE KAPEWA HII KITU-POLONIUM 210....?

Ni kwelI DR MWAKYEMBE KAPEWA HII KITU-POLONIUM 210....?

hivi ni kosa gani kubwa ambalo mwakyembe alifanya hata asitahili adhabu hii?
 
Kama hatarudi kwenye hali yake ya awali, inasikitisha, naamini hiyo ni sumu kabisa.Ningekua mimi ni Mwakyembe ningejitenga na siasa na kuzama kwenye ibada.
 
Back
Top Bottom