Mkuu utapigwa na wachina. Wachina wanaiita nchi yao Zhongguo(Chunggwo au Zhonghua(Chunghua/Chungwa) wakimaanisha ni taifa la katikati. Na ramani za dunia zote nchini uchina lazima ziiweke uchina katikati.Hahaha!!!!
ni kweli katikati ya nchi haswa ipo bahi ipo dodoma wajerumani waliweka pini pale na faida ya wengine katikati ya dunia ni pale maka kwenye jiwe jeusi hili liliwekwa na nabii ibrahimu nchi za magharibi wethibitisha