Ni kweli Diamond na Zari Wanataka Kuachana? Ni kweli Diamond kahamishia Majeshi kwa Lyn?

Daimond akitaka kufilisika apende mademu wa kibongo wengi wao si watafutaji na wanapenda sana maisha ya kuigiza badala ya kutafuta pesa.

We ameishi na mademu kibao wa hapa bongo lakini hakuna la maana zaidi ya skendo na mavurugu huu ni mda wa kutulia na kujenga maisha yake sio bata tena kama kuwatafuna kawatafuna inatosha na kama kuchepuka achepuke sababu ndio misingi ya Mwanaume yeyote Rijali ila kwa Zarina atulie tu.

Kuna faida gani kukaa na demu wa miaka 18 ambae hakusaidii lolote katika maisha yako? Eti kisa mwali mbichi kuna wabichi zaidi yake huu ujinga unafanywa na wapumbavu kama akina Mange ambao wengi wao maisha yashawapiga kofi wanataka kuharibu na ya watu sasa wafanane.

Na kama wazazi na ndugu wa Mondi ndio wanamshauri ivyo basi hao wazazi wakuogopwa kama ukoma unaishi na mwanamke hana pesa(tegemezi) na kuzaa hataki anataka shopping tu za bei mbaya na magari mazuri ni ujinga.
 
Kama keshakanusha kuna shida gani. Michepuko haikwepeki.
Chibu ni dume, amege kidogo halafu project iendelee kwa Zari
 
Back
Top Bottom