Ni kweli CCM haina mwelekeo wala Dira!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli CCM haina mwelekeo wala Dira!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magezi, Mar 7, 2011.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nimesikitishwa na na maneno aliyoyasema Pinda tena jana kwenye ziara yake huko chato. Nashawishika kuamini kwamba maneno yale alitumwa na Kikwete pamoja na swahiba wake Lowasa. Na nadhani walimwambia kabisa kwamba akayasemee chato ili hata wazazi wa Magufuli wayasikie.

  Inakuwaje waziri kama Magufuli ambaye ndiye nguzo ya CCM kiutendaji anaanza kusakamwa eti bomoa bomoa aliyoianzisha haikuidhinishwa na baraza la mawaziri wakati kama waziri anawajibu wa kutekeleza sheria zilizo chini ya wizara yake???

  Tuliona Richmond na TICTS ambazo zilijadiliwa na baraza la mawaziri lakini ni nini kilichotokea????

  Yapo mauozo mengi siwezi kuyataja yote lakini nimelazimika kutamka wazi kwamba CCM kweli haitaleta maendeleo ya kweli kwa watanzania. Nadhani kuna nyumba ya mkubwa inakabiliwa na bomoa bomoa ndiyo maana wakubwa wanaanza kubwabwaja, na hapa lazima lowasa yumo kwani hata wakati Magufuli yuko wizara ya ardhi alipotaka kubomoa Rose garden bar pale mikocheni aliondolewa wizara ile.....

  Pinda usidhani wananchi tuko usingizini.....tunayajua yote!!!!
   
 2. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  More madudu = less efforts to be used by the opposition kuwaondoa 2015. Tuwaache CCM wafanye madudu and lets applaud them.....
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280

  vizuri sasa muambieni na yule padre wenu kuwa uchaguzi mwingine ni 2015 atulize munkari.
   
 4. J

  Jonas justin Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  udini, ndugu yangu hamna sababu ya kutaja padri
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mfadhili wenu wa udini Gadafi yamemfika shingoni......nendeni na jk wenu mkamsaidie
   
 6. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Magezi, ulichoongea kina ukweli kabisa CCM kweli imepoteza dira, haiwezekani viongozi walio katika baraza moja la mawaziri wanapingana, huyu amesema hivi, mwingine nae anaibuka nakusema ya kwake, sasa yupi ni yupi? au ndio wanaonyeshana uwezo. kwa mtindo huo ni kweli CCM imepoteza dira.
   
 7. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Utawala unaojipinga wenyewe umefikia mwishoni.
   
 8. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  Kama hili swali basi jibu ni big NDIYO
   
 9. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ccm ni kama nguruwe aliyekatwa shingo
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ccm is a devil that sucks blood of its own people a vampire
   
 11. M

  Magezi JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Viashiria vingine kuonyesha kuwa CCM haina dira ni jana kumsikia tena Waziri Samwel Sitta akisema CCM isitumie dola kuwadhibiti CHADEMA. Mimi namuunga mkono waziri sitta lakini kwa maoni yangu kwa nini asiondoke huko CCM ili tujue kama kweli anachukia yanayofanyika ndani ya CCM hiyo iliyooza???
   
Loading...