Pia huna akili kama alizonazo RostamHatuko sawa, Mimi sijawaibia mgodi wa makaa ya mawe na wala sio mwanamtandao.
Wahindu na budha sidhani kama watakubaliana na hyo kauli😁
Hata kwenye haki na sheria hakuna usawa.Jibu lipo kwenye swali lako unamaanisha usawa wa nini ? Unaongelea Wajapan, Je unamaanisha chizi wa Japan ni zaidi ya Genius wa Aboriginal kule Australia ?!!; Necessity is the mother of all invention..., kwahio binadamu wote kwa ujumla wana akili ya kuweza kupambana na tatizo linalowakumba kwa wakati husika..., Pia huitaji umati wa watu kufanya vitu pioneers wachache wanaweza kufanya...
Tukirudi kwenye Binadamu wote ni sawa ni kwamba kwenye Mambo ya Haki na Sheria inabidi tuangalie watu wote kwa usawa bila upendeleo na kwa jicho la specie wote ni sawa sababu tuna characteristics zinazofanana
Sia ajabu hata theluthi ya akili zake hufikii tunamzungumzia Rostam sio Baba LevoNinamzidi
Kuwepo na kutakiwa kuwepo ni mambo mawili tofauti kabisa..., kwahio kwa jicho la haki hakuna sababu ya kum-treat mtu mmoja zaidi ya mwingine....; hio ndio target / objective tunayotaka kufikia watu wenye busara; Kuna kipindi cha wafalme na malkia, mabwana na watwana baadhi ya wachache walikuwa more worth than others (that was the order of the day)Hata kwenye haki na sheria hakuna usawa.
Hamuwezi fikaKuwepo na kutakiwa kuwepo ni mambo mawili tofauti kabisa..., kwahio kwa jicho la haki hakuna sababu ya kum-treat mtu mmoja zaidi ya mwingine....; hio ndio target / objective tunayotaka kufikia watu wenye busara; Kuna kipindi cha wafalme na malkia, mabwana na watwana baadhi ya wachache walikuwa more worth than others (that was the order of the day)
Kuna kitabu nilikisoma, Kinaitwa INSHA TATU ZA KIFALSAFA ZA MWALIMU NYERERE.
Ndani yake kulikua na insha tatu za mwalimu Julius nyerere.
Moja wapo ya hizo insha ni hii mada unayozungumzia hapa, Juu ya Uswawa wa binadamu.
Kwa haraka haraka nikikumbuka aliyosema Mwalimu Nyerere kupitia ile insha yake ni kuwa.
Binadamu wote ni sawa katika ubinadamu wao, Mfano Akataja vitu kama mahitaji ya msingi ya binadamu, Roho za binadamu na vyengine vyote ambavyo vinafanya binadamu kuwa sawa.
Mfano akasema Maji ni sawa katika umaji wao haijalishi ni meusi, machafu au masafi, Bado yatakua maji tu yalioundwa na Hydrojeni na Oksijeni mbili.
Na kadhalika akasema pia.
Binadamu sio sawa kwa mantiki ya vipawa vyao, Upekee wao na mambo mengine.
Akatoa na mfano kuwa ukimpeleka mtoto wako shule na ikifika muda wa kurudi nyumbani unategemea umpate mwanao yule uliye mpeleka shule.
Na sio sababu binadamu ni sawa basi uletewe mtoto mwengine ambae sio wako, Sababu mtoto wako atakua na vipawa au vitu tofauti na mtoto mwengine.
Hitimisho akasema Binadamu hawawezi kuwa sawa, Hilo litakua jambo ambalo litaleta matatizo makubwa sana.
Japokuwa watu wana nadi na kutaka usawa lakini haliwezekani.
Na ili taifa na dunia iwe salama lazima kuwe na utafauti hatuwezi wote tukawa sawa.
NB: Ni muda umepita tangu nikisome, kama kuna mtu kapitia hivi karibuni ataongezea vitu humu.