mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Wahanga hebu toeni ukweli huu, maana naskia baadhi wahanga wameenda Mahakama Kuu kuulizia hatima yao khs kurdshwa kazn wameambiwa kuwa ajira hizo hazipo maana yake ZIMEFUTWA, je ni kweli? Hadi taasisi inayosimamia sheria inavunja sheria? Sheria ya ajira na mkataba wanaipuuza?
Je haki ya wahanga kama hawa wataipata wapi kama chombo cha kusimamia haki kimekuwa cha siasa? Mi sio muhanga lakn kuna Mdogo wangu kabsa mpaka sasa hajulikan alipo kwa ishu hii, kabla cjamwambia taarfa hii kptia Simu naombeni ukwel na waraka uliotolewa!
Polen sana vijana ila yote haya yanatokea dunian hapa, mtegemeeni mungu kwa kila jambo mungu atafungua milango ya ridhk yenu kwngn!