mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Habarn za mchana, kwanza polen vijana wote wa Mahakama mliositishiwa ajira zenu toka mwaka Jana,mmeumia,mmesumbka na kudhalilika pia kwa ktokua na taarfa sahihi juu ya hatima yenu,
Ni kwamba kuna mhanga mwenzenu aliajiriwa na kusitishiwa hyo June, aliacha vitu vyake huko alipokua amepangiwa kwa kjua atardshwa baada miez 2 hv, sasa leo miez 8 mwenye Nyumba ametoa vitu vyake kwa kudaiwa kodi na bila kuonesha lini anard na lini atalipa kodi yake,
Kitu hiki kmemfanya aende Mahakama Kuu leo mapema asubh kutaka kujua nn hatima, Mtendaji kamwambia bora akatoe vitu vyake na na ikiwezekana atafte kaz nyingne kufanya maana hawana taarfa ktoka ofsi utumishi ikulu mbali na kutuma maombi ya kibali kuwarejesha kazn,
Pia kaongezea kwa kusema cku ya sheria mh aliwambia hahitaji kuongeza watumishi ktk Mahakama maana wapo wengi sana wanatosha hivyo wao hawana cha kusema ktk hlo,
Kashauri ili msiendelee kuingia gharama ktk vyumba kama mliacha vitu vyenu bora mkatoe vitu vyenu na mfanye mambo mengn, maana hawajui lini watapewa kibali hicho, yawezekana ikawa mwaka wa fedha 2017/2018 mwsho kunukru,
Poleni kwa wakat huu usiotia matumaini, mwenye shibe hamjui mwenye njaa!
Chanzo; Taarfa ktoka Mahakama Kuu DSM,