Wewe unaonaje?Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini.Je ni sahihi wakuu?
Kijana wa fesibuku akitafuta likes jamiiforums 😂😂😂🚮Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine.Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini.Je ni sahihi wakuu?
umtumie utakavyo
Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine.
Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini.
Je ni sahihi wakuu?
Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine.
Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini.
Je ni sahihi wakuu?
Kinini? Dahhhh nimecheka mpaka basi.Hii kauli tata sana, kizomea choo kilipona kweli?
😁Hii kauli tata sana, kizomea choo kilipona kweli?
Kuna watu Wana visa sana 🤣🤣🤣Kinini? Dahhhh nimecheka mpaka basi.
Hahaha wanaume hisia hatuna aiku hiziNa kwanini jinsia ya kike iwe victim kwa the whole relationship?
Mwanaume hana hisia ama?
Ina maana mwanamke hana maamuzi yake ya kuamua asidanganywe? Hili la kuchezewa ni kichekesho
Narudia kusema acheni kuwafanya wanawake kama special group