Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Nimefatilia huu mjadala ila ningependa kuchangia kama ifuatavyo bila kuweka ushabiki ....

Ukiona mwanamke anamtawala mwanaume au anataka kumtawala huyo mwanaume ni lazima awe na sifa zifuatazo .......

1.ANA MALI NA UWEZO WA KIFEDHA

2.ANA KAZI NZULI

3.AMETOKEA KWENE FAMILIA YENYE UWEZO KIFEDHA

Na siku zote lengo kuu la mwanamke kumtawala mwanaume ni kuhakikisha ana take over uchumi na Mali ya familia kuhakikisha Mali zote za mwanaume zinakuwa zipo chini yake na mwanaume hana sauti na akiona hueleweki eleweki anakutoa dunia mwingine anakuloga zaidi.

Issue ya mwanamke kuwa na kipato kikubwa kumtawala mwanaume asie na kipato huwa haina ukali kama mwanaume akiwa na Mali kwa mwanamke ni tatizo
 
Kitu kingine ambacho nimesahau kuchangia ni kwamba siku zote

Siku zote mwanaume kutawaliawa na mkeo dalili huanzia kwenye level ya uchumba yaani kuna vitu ukivikubali basi ujue pale ndipo tatizo la kutawaliwa linapoanzia .........

1.imagine mwanamke anakwambia hayupo tayali kusex na wewe hadi ndoa na wewe ukakubali kwa shingo upande lakini unatamani hapo ndipo roho ya kutawaliwa inapoanzia kwa sababu umeshaonesha ugoigoi

2.mwanaume kubadili dini na kumfata mwanamke kwa dhumuni la kufunga nae ndoa au kuowana huu ni udhaifu wa pili

3.mwanaume kutoa pesa ili kumridhisha mwanamke kipindi cha uchumba ili asikununie au asikarike basi unamuua kumpa kwa shingo upande unaogopa sina hela ukimwambia huna atakukasirikia

4.kumwelezea siri zako za maisha kipindi mkiwa ktk uchumba hivyo mwanamke akafahamu wewe ni nani na una madhaifu ya aina gani

5.mwanaume kutokujiamini mbele ya mwanamke yaani mwanaume unakuwa muoga muoga kwa mwanamke wako yaani inafika hatua hata kama amekukosea unashidwa kumwambiaa unanyamaza kimya

Mengine badae nitazungumza badae
 
Nyie ndo mnaokaribisha kukaliwa kichwani..Mimi ni msaidizi wako unaponipa majukumu ya ubaba kuhudumia familia na wewe lazima nikuendeshe...unakaa kusubiri nilete ule,nisomeshe watoto, kodi za pango, na yanayofanana na hayo...kwanini nisijitahidi kukudrive ili na wewe ukatafute? Umariooo ndo unaowafanya tuwakalie kichwani.
Hongera
 
Tuende tuendavyo ilikitokea imefikia huko ndani ya nyumba jua Mwanaume ndio sababu ya yote kwani kuanzia chini alishajitengenezea mazingira ya kupandwa kichwani.

Sababu haitokei tu mwanamke akawa juu lazima alianza taratibu.
Nakubaliana nawe mia kwa mia, yaani nakupa nyota tano kwa post yako hii Shadeeya
 
Ukiona hivyo ujue kuna vitu vinafata kama sio kaanza kuchepuka atakuwa ana bunge lake pembeni linampa kichwac
 
Mhhhh huo utani kwa jinsi mnavyo penda sifa za kumuweka kiganjani mwanaume
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
 
Msingi mkubwa wa hili ni kutoweka kwa mila na desturi zetu kama watanzania,
Mfano hapo awali mila na desturi zilitiliwa mkazo na jamii husika mfano Jando,unyago na mila nyinginezo nyingi ambazo awali zilitumika haswaa kuwaandaa vijana wa rika fulan kwa ajili ya maisha yao na zilizingatiwa na kutiliwa mkazo

Mtoto wa kike aliandaliwa kuwa MKE wa mtu na mtoto wa kiume aliandaliwa kuwa MUME wa mtu ....

Sasa siku hizi kitoto kinakua hakijawah ishi na baba yake wala mama yake kimejitawala tokea kikiwa kidogo......(WHAT DO U EXPECT)
 
Umenifurahisha sana kwa hekima zako wanawake wachache sana kwa sasa wenye uelewa wa namna hii,Bila shaka utakuwa umetoka familia inayoeleweka, Agizia soda hapo kwa Mangi ntalipa
Ww furah tu na kumsifia wakat mwenzako amakuchora tu.Jikanyage sasa uoe sasa ndo utaiona show...
 
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
Ahahahaj.
Aisee bana kwangu ungekwama maana huo mwanya usingeupata mana nakaba mpaka kivuli.
Kidume sina kumi mfukon ila ole wako uniletee za kujua sana lazima niungurume kama simba.
Wito wangu kwa wanaume:
Nafas yako kwenye ndoa haiombwi.Inapiganiwa na kudumishwa.Sasa nyie kaeni kulia lia tu kwa kudhan mtahurumiwa.
 
Hivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,

Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji

Hivi tatizo ni nini mpaka iwee hivi?
Ole wako ukute umeoa mwanamke mfupi akuzid pesa..utajuta
 
Wanawake wengi hawafuati au hawajui misingi ya dini kwa ufasaha wake kwenye ndoa, wengi wanaendeshwa kwa kauli za wahamasishaji wa masuala ya ndoa kama akina Harvey, Chris Mauki, Jada Smith na wengine ambao ndoa zao zinaendeshwa kwa namna wanavyoona wao zinafaa. Hivyo, wengi wao wanajikuta wanaweza kufanya majukumu ya akina baba wakati kiasili tu haiwezekani. Wanadhani wanaweza kumkamata na kutawala mwanaume kwa mawazo ya wahamasishaji
Hivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,

Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji

Hivi tatizo ni nini mpaka iwee hivi?
 
Msemo wa haki sawa kwa wote unatupeleka kasi sana .

Ila ukweli utabaki palepale mwanaume ni kichwa cha familia na mwanamke ni shingo sijawahi ona shingo inashinda kichwa ni usasa tu unatusumbua wanawake
Kuna haki sawa kati mwanamke na mwanaume au msichana na mvulana lakini hakuna haki sawa kati ya mume na mke!
 
wanaume tafuteni hela basi mwanamke hawezi kukutawala kama una hela zako
mimi live nimeshuhudia ndugu yangu anamfokea mume wake mbele yangu yule mume akazira akaenda kulala yule ndugu yangu akamwita kama mara tatu hv alipoona haitiki akasimama mlango wa chumbani akamwambia usijidai unajua kulala unajua bei ya hicho kitanda wewe
mwanaume akabeba begi kwa hasira ooh unanidhalilisha akaondoka ule usiku yule ndugu yangu wala hakushtuka akafyonya akaenda kukaa anaangalia TV nikashangaa mtu anakuja kugonga hodi saa saba usiku na begi lake mkononi kwa kweli hata mimi nilimshusha thamani
 
Back
Top Bottom