Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,054
- 2,885
Ningeshaanzisha sirediUnakwama peke yako.
Ningeshaanzisha sirediUnakwama peke yako.
HongeraNyie ndo mnaokaribisha kukaliwa kichwani..Mimi ni msaidizi wako unaponipa majukumu ya ubaba kuhudumia familia na wewe lazima nikuendeshe...unakaa kusubiri nilete ule,nisomeshe watoto, kodi za pango, na yanayofanana na hayo...kwanini nisijitahidi kukudrive ili na wewe ukatafute? Umariooo ndo unaowafanya tuwakalie kichwani.
Nakubaliana nawe mia kwa mia, yaani nakupa nyota tano kwa post yako hii ShadeeyaTuende tuendavyo ilikitokea imefikia huko ndani ya nyumba jua Mwanaume ndio sababu ya yote kwani kuanzia chini alishajitengenezea mazingira ya kupandwa kichwani.
Sababu haitokei tu mwanamke akawa juu lazima alianza taratibu.
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
Kitu gani tenaJamani msiseme sana siku hizi tukiwa kitandani kuna kitu tunasusiwa eeeeeh nyie acheni tu
"haters watasema mimi mla jicho"
Swali zuri sanaDuuh! Mkuu unaishi nao jirani hao 99% ya wadada wa humu?
UbarikiweAsante mkuu...neno la Mungu...ndio limeniongoza na kutambua hayo...maana neno la Bwana...ni taa na mwanga
Ww furah tu na kumsifia wakat mwenzako amakuchora tu.Jikanyage sasa uoe sasa ndo utaiona show...Umenifurahisha sana kwa hekima zako wanawake wachache sana kwa sasa wenye uelewa wa namna hii,Bila shaka utakuwa umetoka familia inayoeleweka, Agizia soda hapo kwa Mangi ntalipa
Ahahahaj.Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
Ole wako ukute umeoa mwanamke mfupi akuzid pesa..utajutaHivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,
Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji
Hivi tatizo ni nini mpaka iwee hivi?
Ushetani tu unawasumbua...mwanaume ni kichwa au msingi ktk nyumba...
Ukioa Mwanamke wa Kaskazini na ww sio wa kaskazini Jiandae kwa hili. Ni wababe balaa. Ukiyumba kiuchumi unaweza hama nchi
Hivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,
Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji
Hivi tatizo ni nini mpaka iwee hivi?
Kuna haki sawa kati mwanamke na mwanaume au msichana na mvulana lakini hakuna haki sawa kati ya mume na mke!Msemo wa haki sawa kwa wote unatupeleka kasi sana .
Ila ukweli utabaki palepale mwanaume ni kichwa cha familia na mwanamke ni shingo sijawahi ona shingo inashinda kichwa ni usasa tu unatusumbua wanawake