Ni kwanini wanawake wa siku hizi huwa wanawadharau sana wanaume zao

Hakika umenena mkuu..Mwanaume lazima uoe mwanamke bikra, ukioa mwanamke ambaye sio bikra au single mother athari zake utakuja kuziona uko mbele.Ndoa nyingi zimeharibika kwa sababu walio wanawake ambao sio bikra, nimeoa mwanamke bikra mwaka 8 huu ktk ndoa hajawahi kuniletea kiburi wala dharau na familia yangu ina furaha kila wakati.
Kuoa bikra ni baraka kwa familia ata watoto wanakuwa vizuri kiakili

Mimi ni shahidi kwa hili Mkuu.
Nimeoa Bikra naongea kutokana na Uzoefu.
 
Hakika umenena mkuu..Mwanaume lazima uoe mwanamke bikra, ukioa mwanamke ambaye sio bikra au single mother athari zake utakuja kuziona uko mbele.Ndoa nyingi zimeharibika kwa sababu walio wanawake ambao sio bikra, nimeoa mwanamke bikra mwaka 8 huu ktk ndoa hajawahi kuniletea kiburi wala dharau na familia yangu ina furaha kila wakati.
Kuoa bikra ni baraka kwa familia ata watoto wanakuwa vizuri kiakili
Shukuru tu Mungu umeoa bikra na anakuheshimu
 
Well wanadharau sababu wanaume tumeruhusu kudharaulika.
One thing is tumeacha kusimama kwenye nafasi zetu.. tumesahau kuongoza tumewaachia wasimame kwenye nafasi zetu wakati sisi wenyewe tumeacha hizo nafasi.

It time wanaume tusimame kwenye nafasi zetu. No matter pesa au mali anazokua nazo mwanamke. Atabaki kuwa mwanamke. Mtraeat kama mwanamke.. sio kisa kakuzid pesa unatetemeka. Hapa ndio mambo huaribika..

Tusimame kwenye nafasi zetu
Ahsanteee
 
Mbona hawawafanyii dharau wanaume wakikurya?mamaee makofi tu na kitandani unapiga Pumb..u kama hukutani nayo tena,hapo kila akikuikiria lazima akupe heshima yako.Sema vitoto vinadharau hivi balaaa,sipatii picha ukaoe katoto kama kale katunda.
 
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wanawake wasiku hizi wanawadharau waume zao.

siku hizi nako kuna wanaume? kama sio suruali basi mvivu ktandani , kama sio mvivu basi na yeye ni mwanamke mwenzako maana wanampumulia na yeye so kupafomu zero................

Mpaka hapo hiyo heshima itatoka wapi?
Haya sasa matusi tena ya nguoni kabisa..
 
Kwa nini asikudharau kama ulimkuta hana bikra na bado ukamuoa. Ulimkuta ana mtoto nawe kwa ushamba wako ukamchukua kwa nini asikudharau.

Wanaume wa siku hizi lazima wadharaulike na waonekane wapumbavu kwa kuchukua vitu vilivyooza.

Tokea lini mla mizoga akaheshimika. Mtazame Fisi, Mtazame Kunguru, mtazame Nzi na mende. Hao ni viumbe wanaodharaulika kwa kupenda uchafu ni mizoga.

Kisha Mtazame simba moja ya heshima apewayo ni kula windo jipya kabisa.

Huwezi heshimika kwa kula mizoga hata siku moja. Atakuheshimu leo kwa vile umemsitiri lakini baada ya miaka kumi utaipata.

Wala mizoga hustahili dharau na dhihaka.

Mungu mwenyewe anahitaji bikra safi.
Mizimu inahitaji vitoto bikra
Makuhani wenye upako wanahitaji bikra.

Alafu jinga moja lisilojielewa linakula mizoga.
Big up sana
Hata uwe na pesa vipi mkeo hataoiona thamani yako ikiwa ulichukua mzoga.
Wee!!! Jamaa una akili sana, nadhani Hii verse umeishusha kutoka Mbinguni, kasomee uchungaji unakipaji pande hizo!
 
Unakuta mtu amefungwa jela halafu dawa ya mbu inapanda bei wakati mchicha ukikauka shambani. Sio siri mafuta ya alizeti na asali vikichanganywa mwarobaini umeangukia nyaya za umeme ,majuzi tu kingunge alfika dukani akachaji nokia yake ya tochi ya line moja!
Aaahhahh! kweli Fasihi andishi zitadumu hapa Duniani, na sayari nyingine pia!
 
Kwahili unajidanganya kiongozi, kuna jamaa yangu alioa mwanamke kigoli na bikra yake. Sasa hivi wana watoto watatu ila dharau na vituko anavyofanyiwa na huyo mwanamke vinakaribia kumtoa roho!
Huyo tunampa muda tu, kaoa binti ambaye hajapata exposure ya maisha bado. Anajisifia na kudharau kila mtu humu ila tumpe muda tu, kuna demu alizaliwshwa na mwalimu baada tu ya kumaliza 6 kidato. Aliolewa sababu alikutw bikra na mwalimu flani wa field ambaye alienda kikazi shulen kwao. Binti alikuja kuwa classmate wetu chuo very cute mtoto wa kiislamu mtaratibu mno, full time ushungi.

Kimsingi hakuonekana kufurahia ndoa na yule ticha ishu iliokuwa ikimletea ma stress mda mwingi.
Tulipoamaiza degree baada ya mwaka tukashangaa binti ameolewa na mtu mwengine kabisa now wapo zao Dodoma kimaisha.

Sasa huyu jamaa anayeleta drama zake za kijinga za kuhisi mwanamke akiwa bikra anatengana na vituko vya kimwanamke namkaangia popcorn tu hapa.
 
Kwa nini asikudharau kama ulimkuta hana bikra na bado ukamuoa. Ulimkuta ana mtoto nawe kwa ushamba wako ukamchukua kwa nini asikudharau.

Wanaume wa siku hizi lazima wadharaulike na waonekane wapumbavu kwa kuchukua vitu vilivyooza.

Tokea lini mla mizoga akaheshimika. Mtazame Fisi, Mtazame Kunguru, mtazame Nzi na mende. Hao ni viumbe wanaodharaulika kwa kupenda uchafu ni mizoga.

Kisha Mtazame simba moja ya heshima apewayo ni kula windo jipya kabisa.

Huwezi heshimika kwa kula mizoga hata siku moja. Atakuheshimu leo kwa vile umemsitiri lakini baada ya miaka kumi utaipata.

Wala mizoga hustahili dharau na dhihaka.

Mungu mwenyewe anahitaji bikra safi.
Mizimu inahitaji vitoto bikra
Makuhani wenye upako wanahitaji bikra.

Alafu jinga moja lisilojielewa linakula mizoga.

Hata uwe na pesa vipi mkeo hataoiona thamani yako ikiwa ulichukua mzoga.
Jokajeusi.. katika ubora wake...Baba mkwe wako kashakutumia hela ya maandazi?..

Au saiv upo sawa mkeo kashakupa.mshahara wake.
 
Huenda amejua kuwa hujatulia una michepuko wanawake wengine wakijua hivyo hasira zote atakuwa anakufokea na kukudharau na upendo wake kwao hupoa hata kwenye 6*6 anapoteza ushirikiano sababu anaona hujamthamini Ndiyo maana umechepuka

Madhara ya kuchepuka mkeo akijua ni mabaya sana !

Halafu mwinginge hakuulizi anajua utakanusha kwa hiyo anakufanyia revenge tu !

Mwanaume anayechepuka mkewe akijua hatapata Furaha ya mkeo wa ndoa wala kwa mchepuko.

Mbaya zaidi hata ukimwambia mmeachana na mchepuko hata kaa kukuamini atajua inamdanganya!
 
Back
Top Bottom