Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
- Thread starter
-
- #441
Nimesema mwalimu sio mhadhiri.Walimu ndio waamuzi wa mustakabari wa hii nchi.
Mada yako haijakaa sawa.
Ni walimu wa daraja gani ndio wanadharauliwa ?
Wahadhiri wa vyuo vikuu nao wanadharauliwa pia ?
Maana nao ni Walimu pia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mod[emoji2][emoji2][emoji2][emoji3577]Kwa niaba ya Moderators wenzangu nasema "Amelikoroga na alinywe" [emoji23]
Ni mjanja sana amejiongeza, sasa hawa wengine wamebweteka za mwisho wa mwezi, wanadaiwa mpaka na mchuuzi.Hahahahah huyu jamaa namjua nje ndani!?
Ndoakili zenu hizi, ndotunaendelea na assessment hivyomwanae mbali kote huko
yeye mwenyewe mbona analiwa vizuri tu tena kasimama wima kama yuko parade
Ni Wa serkalin tu baadhi au wote.. tu??Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile Shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata wakiwa wanatembea wamejawa na msongo wa mawazo wananuka madeni kila kona utakuta wanadaiwa kila duka mala kakopa dagaa, kakopa sukari, kakopa Unga, kakopa Mchele, mafuta na kila aina ya takataka dhamana yake ni kazi aliyonayo kwahiyo mda wote anaangalia tarehe ya mshahara ikifika tu ndowanakuwa wa kwanza kujazana benki yani siku hiyo panakuwa hapatoshi ni kero tupu, siku za mshahara almost zipo sawa kwa kila mtumishi wa umma ila walimu ikifika net day of salary yupo benki nadhani ni kutokana na madeni aliyonayo pamoja na ukata wa nyumbani maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.
Hii tabia imekuwa ikinifanya nakwazika nakuwaonea huruma pia. Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli hili hata Samia alilisema zanzibar, hali hii imekuwa ikipelekea ongezeko kubwa la walimu mitaani wasionaajira bahati mbaya hawana skills zakujiajiri kutokana na low IQ waliyonayo kwahiyo matazamio yao ni kusaka huruma za watawala ili wawaajiri.
Mifano iko wazi, hizi ajira za juzi zilizotangazwa na tamisemi za afya na walimu, idadi kubwa ya walioomba ni walimu, waliomba zaidi ya laki moja wakigombania nafasi elfu tisa lakini afya hawakuzidi elfu thelasini kwa nafasi elfu saba. Hapo unaweza ukaona urahisi una gharama zake, ualimu ni ajira za watu wenye level ndogo ya uelewa darasani lakini udaktari sio program ya kitoto hiyo wanaoenda ni PCB smart hakuna matapitapi ya HKL wala wenye four za form six.
Njaa za walimu zimezidi mipaka. Kwanza hawana subira, angalia tu hizi ajira walizotoa tamisemi, walimu wanasumbua hadi aibu naona mimi, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wanatia huruma hadi kinyaa. Utasikia toeni pdf, mda wote utasikia toeni majina hawajui wizara Ina kazi nyingi za kufanya halafu majina yakitoka siku hiyo hiyo kero inaanza wa naanza kuuliza ajira za walimu mnatoa lini.
Mimi nadhani hii sekta ya walimu kama wizara mnaidekeza sana ndio mana mnawageuza kama cheap labor kwenye kazi za kitaifa kama sensa na uchaguzi mkuu maana mnajua wanalipika kwa pesa ya mrenda. Mbona hamuwachukui madaktari na watu wa TRA au TPDC tuone kama watakubali viajira vya sensa. Sasa mtazamo wangu walimu waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama kada zingine, hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya walimu wenye njaa njaa wanalia saaana,
Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine za utumishi ili kubaini vilaza na smart. Hii hali itapunguza mlundikano wa hawa watu kwenye competition za ajira. Wapigwe oral na written interview ili akili ziwakae sawa. Mbona tuliosoma kada zingine tunakaa mitaani miaka zaidi ya minne nahatusikii ajira zimetangazwa na hata zikitoka hatuanzi kero za kudai majina kwa haraka kama tunakimbizwa. Walimu hawana uvumilivu.
Sina Nia mbaya ila haya mawazo niliyotoa kama yatafanyiwa kazi basi walimu wataanza kuheshimika kama wafanyakazi wengine wa serikalini. View attachment 2271988
Wengi niwaserikali, private afadhari muonekano wanaoNi Wa serkalin tu baadhi au wote.. tu??
Ushauri wako ni mzuri japo sidhani kama wataupokea kwa fijo na nderemo.Sio kwamba wana IQ ndogo ila mshahara mdogo unawafanya waonekane vile. Nawashauri tu waanzishe vimradi vidogo ili wasitegemee mshahara. Nawaheshimu kwa kuwanoa vijana wetu, wizara iwatazane vizuri katika mshahara na marupurupu. Big up waalimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatukosoa wewe kama nani?Sio shida, kufunzwa na walimu haitufanyi tusiwarekebisha, ukosoaji ni njia salama salama yakumrekebisha mtu.
Mkuu nikuwekee vyeti hapa?Ona anakokimbilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanakuwa wengi kwasababu wanaokimbilia huko ni wale waliofeli, ni fani isiyo na vigezo vigumu
Kumbe huyu mwl wa Dip ndo anatusumbua humu,yani ningejua hata nisingejibizana nae.Walimu wa Diploma wanafundishwa maadili sana,huyu itakua mla unga huyuJamij forum usipoijua vizuri unaweza pata stress sana.
Anayepondea walimu, na yeye ni mwl tena diploma.
Hiyo cheap popularity unayotafuta humu itakusaidia nini mkuu?
Kwenye ile thread ya chanagamoto za maombi ya ajira tamisemi mlikuwa mmejaa mkigombea hizo ajira za ualimu unazodharau hapa.
Tujaribu kuwa halisia hata kama tunatumia fake names.
Kwa hiyo hata akina Nyerere, Magufuli, Majaliwa, Tulia, Jenister, na wengineo wengi walio/wanao waongoza pale Lumumba! Akili zao zimekaa upande!Nilikua sijui Kama na ww ni mwalimu.
Ndio maana akili zimekaa upande
😆😆😆@mpwayungu village,pole mkuu,walimla mama yako? Mbona Una hasira nao?Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile Shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata wakiwa wanatembea wamejawa na msongo wa mawazo wananuka madeni kila kona utakuta wanadaiwa kila duka mala kakopa dagaa, kakopa sukari, kakopa Unga, kakopa Mchele, mafuta na kila aina ya takataka dhamana yake ni kazi aliyonayo kwahiyo mda wote anaangalia tarehe ya mshahara ikifika tu ndowanakuwa wa kwanza kujazana benki yani siku hiyo panakuwa hapatoshi ni kero tupu, siku za mshahara almost zipo sawa kwa kila mtumishi wa umma ila walimu ikifika net day of salary yupo benki nadhani ni kutokana na madeni aliyonayo pamoja na ukata wa nyumbani maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.
Hii tabia imekuwa ikinifanya nakwazika nakuwaonea huruma pia. Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli hili hata Samia alilisema zanzibar, hali hii imekuwa ikipelekea ongezeko kubwa la walimu mitaani wasionaajira bahati mbaya hawana skills zakujiajiri kutokana na low IQ waliyonayo kwahiyo matazamio yao ni kusaka huruma za watawala ili wawaajiri.
Mifano iko wazi, hizi ajira za juzi zilizotangazwa na tamisemi za afya na walimu, idadi kubwa ya walioomba ni walimu, waliomba zaidi ya laki moja wakigombania nafasi elfu tisa lakini afya hawakuzidi elfu thelasini kwa nafasi elfu saba. Hapo unaweza ukaona urahisi una gharama zake, ualimu ni ajira za watu wenye level ndogo ya uelewa darasani lakini udaktari sio program ya kitoto hiyo wanaoenda ni PCB smart hakuna matapitapi ya HKL wala wenye four za form six.
Njaa za walimu zimezidi mipaka. Kwanza hawana subira, angalia tu hizi ajira walizotoa tamisemi, walimu wanasumbua hadi aibu naona mimi, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wanatia huruma hadi kinyaa. Utasikia toeni pdf, mda wote utasikia toeni majina hawajui wizara Ina kazi nyingi za kufanya halafu majina yakitoka siku hiyo hiyo kero inaanza wa naanza kuuliza ajira za walimu mnatoa lini.
Mimi nadhani hii sekta ya walimu kama wizara mnaidekeza sana ndio mana mnawageuza kama cheap labor kwenye kazi za kitaifa kama sensa na uchaguzi mkuu maana mnajua wanalipika kwa pesa ya mrenda. Mbona hamuwachukui madaktari na watu wa TRA au TPDC tuone kama watakubali viajira vya sensa. Sasa mtazamo wangu walimu waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama kada zingine, hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya walimu wenye njaa njaa wanalia saaana,
Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine za utumishi ili kubaini vilaza na smart. Hii hali itapunguza mlundikano wa hawa watu kwenye competition za ajira. Wapigwe oral na written interview ili akili ziwakae sawa. Mbona tuliosoma kada zingine tunakaa mitaani miaka zaidi ya minne nahatusikii ajira zimetangazwa na hata zikitoka hatuanzi kero za kudai majina kwa haraka kama tunakimbizwa. Walimu hawana uvumilivu.
Sina Nia mbaya ila haya mawazo niliyotoa kama yatafanyiwa kazi basi walimu wataanza kuheshimika kama wafanyakazi wengine wa serikalini. View attachment 2271988
Viongozi wote uliowataja ni vilaza tu kama weweKuliko nyinyi uvccm! Kwa hiyo hata akina Nyerere, Magufuli, Majaliwa, Tulia, Jenister, na wengineo wengi walio/wanao waongoza pale Lumumba! Akili zao zimekaa upande!
Dogo heshimu walimu wako. Maana hao siku zote husimama kwa niaba ya wazazi wako. Dharau na kejeli, hazitawapeleka kukote.
Sekta zote ni potential Ila Ualimu ni sekta Mama ,Mtambo wa kuzalisha physicians Bora na wazuriHilo lipo wazi, hakuna sekta isiyo kuwa na mchango inamana walimu ni potential sana kuliko physicians
Tamisemi wanatangaza majina ya waajiriwa wapya muda huu. Fanya utaratibu wa kuangalia kama na wewe umepata ili wivu upungue kidogo.Viongozi wote uliowataja ni vilaza tu kama wewe
Hizo level zakuajiriwa nilishaga vuka kitambo sana. Sipo huko mmTamisemi wanatangaza majina ya waajiriwa wapya muda huu. Fanya utaratibu wa kuangalia kama na wewe umepata ili wivu upungue kidogo.