N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 556
Maumivu aliyoyapitia unategemea aongee vipi? katekwa mara mbili na kupigwa na kuachwa porini, kafugwa kwa kupandikiziwa madawa ya kulevya ?Mdude sio Mandela muache atoe uchunguUnamsemea Mdude huyuhuyu mwenye kauli kali ,mabishano ,kedi,dharau na matusi ?!!!!
Mdude alituambia kuwa "atautumia wembe uleule alioutumia kumnyoa kiongozi aliopita na sasa kumnyoa mama yetu"......
Huyu ameomba msamaha lini?Komredi Kheri alikosea....hii si lugha sahihi....
Na baadaye aliomba MSAMAHA....
Kwa style hii kweli CHADEMA wataweza Kujenga Chama chao na hadi Kutushawishi na Sisi Watu wengine tusio na Chama bado Kujiunga Kwao ili kwa pamoja tuandamane Barabarani Kushinikiza Mshukiwa Ugaidi wetu aachiwe Huru?
Ushawishiwe kama nani,hivi unaweza ukamshawishi shetani kuingia ufalme wa mbinguni? Mtu mwuaji mwongo na mwenye dharau wakae pamoja na Chadema kweli hapo kuna maelewano,nyie endeleeni na kesi zenu za kubumba,mambo hayo ya ugaidi yabaki kwenu.Kwa style hii kweli CHADEMA wataweza Kujenga Chama chao na hadi Kutushawishi na Sisi Watu wengine tusio na Chama bado Kujiunga Kwao ili kwa pamoja tuandamane Barabarani Kushinikiza Mshukiwa Ugaidi wetu aachiwe Huru?
Labda familia yenu ndio magaidi!Jinsi walivyo kwenye mtandao ndo ata mtaani wako hivyo tunaposema mbowe ni gaidi mtuelewe.
Muulize Sabaya atakutajia majina hadi matendo ya magaidi uwatakao.Jinsi walivyo kwenye mtandao ndo ata mtaani wako hivyo tunaposema mbowe ni gaidi mtuelewe.
.....Ni kwa sababu mtu hapaswi kuwa mpole wala kuulea uovu na waovu. Lazima tuwe wakali kwa waovu na uovu wa maCCM yaliyoitendea nchi na wana wa nchi hii tangu mwaka 1961!!Kwa style hii kweli CHADEMA wataweza Kujenga Chama chao na hadi Kutushawishi na Sisi Watu wengine tusio na Chama bado Kujiunga Kwao ili kwa pamoja tuandamane Barabarani Kushinikiza Mshukiwa Ugaidi wetu aachiwe Huru?
Ungemwita kichaa Kheri. Komredi ni hadhi ya juu sana kwa dhihaka za namna mbalimbali alizokuwa anazitoa hadharani dhidi ya wananchi.Komredi Kheri alikosea....hii si lugha sahihi....
Na baadaye aliomba MSAMAHA....
chadema Ni chama Cha kizamani kinachoishi maisha ya sasa. Kisipobadilika kitaishia kupiga kelele.Kwa style hii kweli CHADEMA wataweza Kujenga Chama chao na hadi Kutushawishi na Sisi Watu wengine tusio na Chama bado Kujiunga Kwao ili kwa pamoja tuandamane Barabarani Kushinikiza Mshukiwa Ugaidi wetu aachiwe Huru?
Komredi Kheri alikosea....hii si lugha sahihi....
Na baadaye aliomba MSAMAHA....
Kwa style hii kweli CHADEMA wataweza Kujenga Chama chao na hadi Kutushawishi na Sisi Watu wengine tusio na Chama bado Kujiunga Kwao ili kwa pamoja tuandamane Barabarani Kushinikiza Mshukiwa Ugaidi wetu aachiwe Huru?
Ni kwasababu chadema ina wanachama wengi kuliko huto tuvyamaKwa style hii kweli CHADEMA wataweza Kujenga Chama chao na hadi Kutushawishi na Sisi Watu wengine tusio na Chama bado Kujiunga Kwao ili kwa pamoja tuandamane Barabarani Kushinikiza Mshukiwa Ugaidi wetu aachiwe Huru?