N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 556
Maumivu aliyoyapitia unategemea aongee vipi? katekwa mara mbili na kupigwa na kuachwa porini, kafugwa kwa kupandikiziwa madawa ya kulevya ?Mdude sio Mandela muache atoe uchunguUnamsemea Mdude huyuhuyu mwenye kauli kali ,mabishano ,kedi,dharau na matusi ?!!!!
Mdude alituambia kuwa "atautumia wembe uleule alioutumia kumnyoa kiongozi aliopita na sasa kumnyoa mama yetu"......