Ni kwanini Wafuasi wengi wa CHADEMA hasa Mitandaoni ni Watu wenye Jazba, Kashfa na Matusi kuliko wa CCM, CUF na ACT Wazalendo?

Unamsemea Mdude huyuhuyu mwenye kauli kali ,mabishano ,kedi,dharau na matusi ?!!!!

Mdude alituambia kuwa "atautumia wembe uleule alioutumia kumnyoa kiongozi aliopita na sasa kumnyoa mama yetu"......
Maumivu aliyoyapitia unategemea aongee vipi? katekwa mara mbili na kupigwa na kuachwa porini, kafugwa kwa kupandikiziwa madawa ya kulevya ?Mdude sio Mandela muache atoe uchungu
 
Strees
Kwa style hii kweli CHADEMA wataweza Kujenga Chama chao na hadi Kutushawishi na Sisi Watu wengine tusio na Chama bado Kujiunga Kwao ili kwa pamoja tuandamane Barabarani Kushinikiza Mshukiwa Ugaidi wetu aachiwe Huru?
 
Ushawishiwe kama nani,hivi unaweza ukamshawishi shetani kuingia ufalme wa mbinguni? Mtu mwuaji mwongo na mwenye dharau wakae pamoja na Chadema kweli hapo kuna maelewano,nyie endeleeni na kesi zenu za kubumba,mambo hayo ya ugaidi yabaki kwenu.
 
Kwa hiyo mtu akichukizwa na uhayawani wako unataka aongee na weye huku anachekacheka kama zuzu kwa raha gani?Tumia akili kwenye kuuliza vijiswali vyako.
 
Kwa style hii kweli CHADEMA wataweza Kujenga Chama chao na hadi Kutushawishi na Sisi Watu wengine tusio na Chama bado Kujiunga Kwao ili kwa pamoja tuandamane Barabarani Kushinikiza Mshukiwa Ugaidi wetu aachiwe Huru?
.....Ni kwa sababu mtu hapaswi kuwa mpole wala kuulea uovu na waovu. Lazima tuwe wakali kwa waovu na uovu wa maCCM yaliyoitendea nchi na wana wa nchi hii tangu mwaka 1961!!
 
Kwa style hii kweli CHADEMA wataweza Kujenga Chama chao na hadi Kutushawishi na Sisi Watu wengine tusio na Chama bado Kujiunga Kwao ili kwa pamoja tuandamane Barabarani Kushinikiza Mshukiwa Ugaidi wetu aachiwe Huru?
chadema Ni chama Cha kizamani kinachoishi maisha ya sasa. Kisipobadilika kitaishia kupiga kelele.
 
Kwa style hii kweli CHADEMA wataweza Kujenga Chama chao na hadi Kutushawishi na Sisi Watu wengine tusio na Chama bado Kujiunga Kwao ili kwa pamoja tuandamane Barabarani Kushinikiza Mshukiwa Ugaidi wetu aachiwe Huru?
Ni kwasababu chadema ina wanachama wengi kuliko huto tuvyama
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom