Ni kwanini vyombo vya habari haviandiki habari za CUF tangu kampeni zimeanza?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Najua wengi mtanipinga ila ukweli
Ni kwamba tangu kampeni zimeanza vyombo habari vimekuwa vikiripoti kuhusu kampeni za chadema na ccm

Pia vimekuwa vikipamba wagombea wa chadema na ccm

Je kwanini kuhusu cuf Kama vile
Kimya sana
 
Wanamuogopa lipumba ccm
 
Najua wengi mtanipinga ila ukweli
Ni kwamba tangu kampeni zimeanza vyombo habari vimekuwa vikiripoti kuhusu kampeni za chadema na ccm

Pia vimekuwa vikipamba wagombea wa chadema na ccm

Je kwanini kuhusu cuf Kama vile
Kimya sana
Cuf IPI maana ziko mbili lakinj mfu
 
Kwa kweli hawatendi haki ila chadema walaaniwe kwa kuisambaratisha Cuf!
Kweli wewe na mbwa tasa hamna tofauti ni kweli kabisa chadema walimnunua Lipumba wakampeleka Rwanda kisha wakamkarudishia uenyekiti kibabe wakampatia na ruzuku huku wakimlinda afanye fujo mikutano ya cuf
 
Umesahau mapema lipumba nafsi ilimsuta ujio wa lowassa,aliletwa na mbowe chairman wa chadema umeelewa wewe ngulula!
 
Baadhi ya waandishi na vyombo vyao nchi hii wanaangalia maslahi yao kwanza. Weledi wa kitaaluma ulishapotea
 
Back
Top Bottom